Team domozege

Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
Hahah joti na mpoki hao' jamaa wametoka mbaali kweli yan
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.

Enzi hizo Joti na Mpoki wako I.T.V kama sikosei ilikua miaka ya 1999 au 20000.
Hilo igizo mpoki kaigiza hana mikono ila joti kaenda nyuma ya mpaki na kutumia mikono yake ili demu asigundue kama anatongozwa na mtu mwenye ulemavu wa mikono.

Hilo igizo lilikua limetulia sana. Ama kweli maisha yanatoka mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…