TEAM B-13 ushuhuda wangu juu ya supernatural powers

somo ni refu kwakweli bt inshort kila unachotaka unaassume kwamba umeshakipata unafanya visualization namna unavyokua nacho kama ni hela unataka unaamin kwamba ushazipata unaanza kupanga na matumizi kabsa bila kua na doubt yoyote amini 100% kwamba unazo iyo hali inaenda kuattract pesa ulizotaka popote pale unazipata hiyo ndio law of attraction unaingia kwanza kwenye situation kifikra unaaminisha ur subconscious mind kwamba tayari unacho hapo ndo unakiattract unakipata
...hebu tufungue macho mkuu
....inakuwaje hiyo nguvu
 
.....Kumbe unajua kama hakuna miujiza inayokupa pesa bila kufanya kazi!

Thread closed.
Umeelewa vibaya

Kwenye hii tred wapi nilipo andika unapata pesa kupitia maind?
 
kama kuna kitu hujui unatakiwa ujifunze sio kusema mbona hakijulikani unaweza kugoogle kujifunza zaidi sio kubisha kila kitu kuna nguvu kubwa kwenye subconsious mind nguvu inayoweza kufanya kila kitu it works for me na hata matajiri wengi duniani
 
Sitaki kukudhalilisha au kusema unaongopa ila nikuulize kitu kimoja: hivi unajua kuna aina ya ugonjwa wa akili unaofanya mtu anajiona kama ana uwezo kama unavyosema lakini kihalisia hana uwezo wowote? Unaweza ku support madai yako na mifano hai? Kuna watu wengi wamedai wana uwezo kama wako lakini walipofanyiwa test na wataalam ikagundulika kuwa hawana. Unaweza kuona kabisa kuwa Mr X alipoongea maneno fulani wewe ulikuwa ''umeshajua'' atakachoongea kumbe kiukweli ni akili zako tu zimekufanya uone hivyo
 
kama kuna kitu hujui unatakiwa ujifunze sio kusema mbona hakijulikani unaweza kugoogle kujifunza zaidi sio kubisha kila kitu kuna nguvu kubwa kwenye subconsious mind nguvu inayoweza kufanya kila kitu it works for me na hata matajiri wengi duniani
....."It worked for me na hata matajiri wengi duniani" Really!!???, Unayosema yangekuwa kweli kusingekuwa na masikini duniani!,

Halafu mbona unawasemea matajiri wengine!, Wewe ni tajiri?
 
Sipingani sana na hoja yako bali kuna tatizo LA kutoelewana


Ninapo sema naweza kumsoma MTU kabla ya hata hajaongea simaanishi ww unaetumia keyboard

Namaanisha kwa MTU ambae nipo nae-karibu I mean awe rafiki yangu mpenzi wangu au MTU wangu wa karibu yoyote japo si kwa 89%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…