Team Arusha Hold Our hands £idd £Lfitir "

Maarab

JF-Expert Member
Jun 21, 2017
415
253
Amani iwe nanyi nyoote..karibuni tupeane kheir na baraq za Eidd Elhaj na vilevile ni vema pia tushukuru tumehitisha mfungo/Ibada hii ya Mwezi mtukufu waRamadhan,na hapa ni itakua vema ikiwa tukipeana Majukumu/fat'waa nini kifanyike baada Salatul Eidd..kama muendelezo wa Ibada zingine.:Was'salaam tawfiq..
:Karibu nyoote!!.
 
Back
Top Bottom