Hahaaa! kanikumbusha mbali sana, kuna mwalimu wetu aliitwa Saiyembe yaan alikuwa na vituko kweli zaidi ya huyu. Ila kwa hisabati alikuwa kiboko kila mwanafunzi alikuwa anamkubali.
Mbwembwe zote hizo akienda kaunta ya NMB nguvu yote KUSHNEY. Wenzake wanaosinzia bungeni wakiamka wanasaini kwa siku laki mbili, bado wanaosaini jalada moja halafu wanatoka saa tano kwenda kwenye kazi za nje ya kiofisi .