Teacher na student

Teacher na student

mickey drizzy

Member
Joined
Jun 19, 2015
Posts
30
Reaction score
3
Habari wana JF,

Kwanza kabisa ningependa tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai na nguvu mpaka hivi sasa wote tuseme (amin)

Leo nimewaletea kastori ka ticha wa science na mwanafunzi wake...

Mishale ya saa mbili na nusu, kengele ya kuingia darasani inagongwa na wanafunzi wanatoka assembly wanaingia madarasani.. baada ya nusu saa, anaingia mwalimu wa sayansi darasani kwa kina Kibonoka.,.

Kibonoka: Attention class
All students: Good morning sir
Teacher: Morning, how are you?
Students: We are fine sir...
Teacher: Ok, sit down
Students: Thank you sir

Baada ya muda kidogo teacher akaanza..

Teacher: Revolution is our topic for today...."Kibonoka??
Kibonoka: Yes sir
Teacher: Can you tell us what is revolution
Kibonoka: Revolution is our topic for today...
Teacher: Whaaaaat?? Kibonoka come, come , come....

Unajua kilichofuata??... mboko tu mwanzo mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom