Kirchhoff's
Member
- Jun 1, 2015
- 19
- 0
Aliiomba kwa nini?
ye anaxema aliomba tu kama kuangalia anaweza kuchaguliwa sasa anataka kubadilishana na mtu inawezekana kwel
__ ndo ivo aendelee kuangaliaa kama alivo omba ili aangalie
hahaha jamaa mwenyew chemia olevel aliacha form 2
hacrini wakuu sasa kwa mwenye uelewa anifahamishe ni vigezo gani tcu hutumia kufanya selebtion kama hivi wamemchagua jamaa PGM Petroleum engineering udom jamaa amepanic chemistry hajasoma anataka kuhama nashindwa kuelewa

Jamaa kapima kina cha bahar kwa mguu