Jaman how are you, ukishalipa(50,000/= TCU CAS kwa ajil ya kuomba vyuo) kuna vocha unapewa mimi najaribu kuitumia bila mafanikio na marafiki wanasema wametumia namba ya uthibitsho, vipi wakuu inakuwaje?
Kwani umelipa kwa kutumia system gani maana kama ni simu na uko mtandao wa vodacom tangazo lililoko kwenye mtandao lilikosea namba ya kampuni na wahusika nashani hawajaliona hili. tumia namba ya kampuni iliyoandikwa kwa TIGO. utapokea uthibitisho kutoka vodacom M-pesa na baadaye TCU watakutumia voucher namba habari ya namba yako ya mtihani ya form four yenyewe nadhani unakumbuka na mwaka pia