TCU yakanusha Uvumi

TCU yakanusha Uvumi

namtumbo

Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
78
Reaction score
102
Tume ya Vyuo Vikuu nchini imetoa Taarifa kwa Umma kukanusha uvumi ulioenezwa kwa njia ya mtandao juzi na jana kwamba Tume hiyo imezuia Vyuo 22 kufanya Udaili wa Wanafunzi katika mwaka wa masomo 2016/2017. Kwa habari zaidi angalia hapo chini:
IMG-20160725-WA030.jpg
 
Hii Tume ya Vyuo Vikuu sasa imekuwa ni kama sehemu ya kufanyia siasa. Kila siku wana-make headlines kweye magazeti.
 
Mbona naona kama alieandaa lile tangazo ndio anatakiwa kuwa Mtendaji wa TCU!!
 
Back
Top Bottom