sory sikujua kama ni junior member...ila kwa msaada tu ni kwamba kuwa na facts kabla hujaweka kitu humu jf,,hii sio facebook,au kijue cha wanywa kahawa au wanywa pombe mchana fikiri kabla hujatenda na uwe na uhakika na usemacho sio kusikia story kwenye haice afu uleta humu!!!KARIBU SANA JF(home of great thinkers) MKUU,UKILETA ZA KULETA BAN INAKUHUSU!!!!!!