TCU wanazingua

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
2,171
Reaction score
2,984
wadau nlikuwa not selected first round tena kwenye kozi nioizoomba lakini Leo nashangaa UDSM wametoa majina ya waliodahiliwa na LA kwangu lipo afu huku nishafanya reapplication sasaa hawa nashindwa kuwaelewa kabisa.
 
Hongera! Yapo majina yaliyoongezwa kwenye round ya kwanza kwa hiyo utakuwa mmojawapo. Hata hivyo pata uhakika toka TCU
 
et jaman wadau nlikuwa not selected first round tena kwenye kozi nioizoomba lakini Leo nashangaa UDSM wametoa majina ya waliodahiliwa na LA kwangu lipo afu huku nishafanya reapplication sasaa hawa nashindwa kuwaelewa kabisaaa

Fanya uwah mapema ukatoe taarfa maana ukichaguliwa vyuo viwil tofaut, unaweza ukaja kukosa mkopo iv iv.
Hii ndio tz bhana
 
ahaaa kawaida tu hiyo wenzako na boom hujaga majina ata mara 3
 
Ndo maana hata siku ile nilikwambia kwa matokeo uliyotoa siku ile haikuwa rahisi kutokuchaguliwa. nikakupa matokeo ya dogo angu mwenye CCD na nikakweleza kuwa alipata Civil UDSM, sasa hailuwa rahisi wewe kukosa
 
Daaah na saiv profile yangu nikiingia haioneshi zile selection za second round
 
Daaah kweliii ninae bahatii wananduguu afu nashangaa nimekuwa MTU wa 40 kuwa admitted huku wakiwa admitted wanafunzi zaid ya 180 inakuaje washindwe kunjulishaa kwwnye profile anguu
 
Hata mimi nimechaguliwa civil udsm ila nishafanya application 2nd round . Majina ya udsm nipo nashangaa wakati profile lilisoma not selected
 
et jaman wadau nlikuwa not selected first round tena kwenye kozi nioizoomba lakini Leo nashangaa UDSM wametoa majina ya waliodahiliwa na LA kwangu lipo afu huku nishafanya reapplication sasaa hawa nashindwa kuwaelewa kabisaaa
Duuuh mkuu kwanza hongera kwa kuchaguliwa, lkn c umechaguliwa course uliyoomba? M naona hapo hamna tatzo kabisa
 
Hayo ni makosa ya kimtandao na huwa inatokea walikuwa wamekuchagua ila system yao ikawa na shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…