Beroscar Member Joined Aug 28, 2016 Posts 28 Reaction score 11 Sep 12, 2016 #1 Jamani mwenye Taarifa kuhusu TCU atupe ubuyu bas
uledical steven Member Joined Jul 28, 2016 Posts 27 Reaction score 8 Sep 12, 2016 #2 Kweli bhan maana hatuelewi toka Jana watu wanasema lakin tpo njia panda
Fred Frank JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 296 Reaction score 118 Sep 12, 2016 #3 Ubuyu haumumunyiki pale ukikutana na neno applicant not found
Beroscar Member Joined Aug 28, 2016 Posts 28 Reaction score 11 Sep 12, 2016 Thread starter #4 Hapa npo hoi na mawazo du nishda
R100 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 337 Reaction score 81 Sep 12, 2016 #5 Fred Frank said: Ubuyu haumumunyiki pale ukikutana na neno applicant not found Click to expand... Usiombe
Fred Frank said: Ubuyu haumumunyiki pale ukikutana na neno applicant not found Click to expand... Usiombe
L lebrowny New Member Joined Sep 11, 2016 Posts 2 Reaction score 2 Sep 12, 2016 #6 Beroscar said: Jamani mwenye Taarifa kuhusu TCU atupe ubuyu bas Click to expand... Kwel au people wanazingua
Beroscar said: Jamani mwenye Taarifa kuhusu TCU atupe ubuyu bas Click to expand... Kwel au people wanazingua
Beroscar Member Joined Aug 28, 2016 Posts 28 Reaction score 11 Sep 12, 2016 Thread starter #7 Aisee ni balaaaaaa
uledical steven Member Joined Jul 28, 2016 Posts 27 Reaction score 8 Sep 12, 2016 #8 Beroscar said: Hapa npo hoi na mawazo du nishda Click to expand... Ni shidaaaaa Fred Frank said: Ubuyu haumumunyiki pale ukikutana na neno applicant not found Click to expand...
Beroscar said: Hapa npo hoi na mawazo du nishda Click to expand... Ni shidaaaaa Fred Frank said: Ubuyu haumumunyiki pale ukikutana na neno applicant not found Click to expand...
anthonysamanii Member Joined Feb 23, 2014 Posts 85 Reaction score 49 Sep 12, 2016 #9 Hii ngoma kweli ni noma maana wengi jana walidai walifanikiwa kuona selections zao....lakn mara baada ya muda tcu wakafanya yao kuyatoa
Hii ngoma kweli ni noma maana wengi jana walidai walifanikiwa kuona selections zao....lakn mara baada ya muda tcu wakafanya yao kuyatoa
anthonysamanii Member Joined Feb 23, 2014 Posts 85 Reaction score 49 Sep 12, 2016 #10 Ila wangekuwa real muda umeenda saana twataka jua wapi tunaenda!!!!! Tired for waiting
mpiga era JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,078 Reaction score 2,269 Sep 12, 2016 #11 Fred Frank said: Ubuyu haumumunyiki pale ukikutana na neno applicant not found Click to expand... Not found. Means Hayumo kwenye idadi ya waliopata chuo
Fred Frank said: Ubuyu haumumunyiki pale ukikutana na neno applicant not found Click to expand... Not found. Means Hayumo kwenye idadi ya waliopata chuo
R100 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 337 Reaction score 81 Sep 12, 2016 #12 mpiga era said: Not found. Means Hayumo kwenye idadi ya waliopata chuo Click to expand... Una uhakika gani mkuu
mpiga era said: Not found. Means Hayumo kwenye idadi ya waliopata chuo Click to expand... Una uhakika gani mkuu
mpiga era JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,078 Reaction score 2,269 Sep 12, 2016 #13 R100 said: Una uhakika gani mkuu Click to expand... Ndo maana ya neno hilo mkuu Uliza walio omba nacte wakakosa walikuta Ujumbe gani!!!....!
R100 said: Una uhakika gani mkuu Click to expand... Ndo maana ya neno hilo mkuu Uliza walio omba nacte wakakosa walikuta Ujumbe gani!!!....!
Eng Godfrey lupimo Senior Member Joined Sep 3, 2016 Posts 148 Reaction score 76 Sep 12, 2016 #14 Mda bado, vuteni subira kwanza wakuu maana Ata September conference sasa ni October conference!!!!!!***
Mda bado, vuteni subira kwanza wakuu maana Ata September conference sasa ni October conference!!!!!!***
surangumu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 254 Reaction score 98 Sep 12, 2016 #15 Yaani hii inchi nadhani aliiroga tayari kashakufaga Kama jambo dogo tu kama hili la udahili linatusumbua Je tutaweza kutengeneza ndege zetu kweli???? Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
Yaani hii inchi nadhani aliiroga tayari kashakufaga Kama jambo dogo tu kama hili la udahili linatusumbua Je tutaweza kutengeneza ndege zetu kweli???? Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
R100 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 337 Reaction score 81 Sep 12, 2016 #16 mpiga era said: Ndo maana ya neno hilo mkuu Uliza walio omba nacte wakakosa walikuta Ujumbe gani!!!....! Click to expand... Sasa kwan imesha tangazwa rasmi kwamba selection zimeshatoka?halafu pia ile ni nacte usilete mambo ya nacte kwenye tcu
mpiga era said: Ndo maana ya neno hilo mkuu Uliza walio omba nacte wakakosa walikuta Ujumbe gani!!!....! Click to expand... Sasa kwan imesha tangazwa rasmi kwamba selection zimeshatoka?halafu pia ile ni nacte usilete mambo ya nacte kwenye tcu
R Ruiz Senior Member Joined Dec 27, 2015 Posts 171 Reaction score 70 Sep 12, 2016 #17 Ngoma haifunguk wadau yan daah
Beroscar Member Joined Aug 28, 2016 Posts 28 Reaction score 11 Sep 12, 2016 Thread starter #18 Tangu jana
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 12, 2016 #19 surangumu said: Yaani hii inchi nadhani aliiroga tayari kashakufaga Kama jambo dogo tu kama hili la udahili linatusumbua Je tutaweza kutengeneza ndege zetu kweli???? Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app Click to expand... Ucjal tutatengeneza ndege mwaka 3000
surangumu said: Yaani hii inchi nadhani aliiroga tayari kashakufaga Kama jambo dogo tu kama hili la udahili linatusumbua Je tutaweza kutengeneza ndege zetu kweli???? Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app Click to expand... Ucjal tutatengeneza ndege mwaka 3000
W wanaumewaisaka JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 366 Reaction score 178 Sep 12, 2016 #20 Wamesema yatatoka baadae