AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
nimejiuliza kitu fulani:
1. TCU wameamua kuweka grade ya aina ya masomo wanayoyaita priority na mengine wanayosema sio priority. yale ambayo ni priority kwa kawaida wanatoa full load, yale ambayo sio priority wanatoa nusu nusu.
2. wanafunzi wengi wanatoka vijijini, masikini kabisa, walipojua kuwa wanaweza kukosa mkopo wa full, wakaamua wote kurundikana kwenye priority courses. chuo kimoja kinataka hiyo course ya priority wanataka watu 200 wanafunzi walioapply ni 4,000 sio kwasababu wanazipenda hizo course bali kwasababu hawana hela ya kuongeza kweney ada. matokeo yake wamekosa wanaambiwa waanze tena kurudia application.
3. wanafunzi waliochunjwa hata kabla hawajapata chuo au kuanza chuo, washakuwa frustrated. hivi aliyebuni huo mfumo wa ukopeshaji, lengo lake hasa lilikuwa ni nini?
4. kwasababu watz wengi ni masikini hawawezi kuchangia, wapewe mkopo full na watarudisha, si wanasema hela zinakusanywa sasa awamu hii, si wakopeshe wanafunzi wasome sasa? full load.
5. jana wakati wanaongea kwenye tv, msomi mzima namshangaa analaumu wanafunzi ati kwanini wamerundikana kwenye course moja mfano ya land valuation, amesahau kuwa wao ndo wanawalazimisha wanafunzi warundikane na hiyo ni evidence kwamba wanafunzi wengi hawana uwezo kulipa ada kwa kuchangia ndo maana kila mtu amekimbilia kwenye priority courses. hao wasomi maofisini hawajui hilo? mnafanya nini ofisini kama mnashindwa kuelewa hayo?