TCU wame mute (wawa mabubu)?

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
7,602
Reaction score
7,344
Kwa miaka miwili tangu wameanza system ya kuomba chuo moja kwa moja TCU baada ya raundu ya kwanza wamekuwa wakitufahamisha wadau udahili unaendeleaje. Kwa mfano wamekosa chuo wanafunzi wangapi raundi ya kwanza. Mwaka huu naona wamenyamaza kimya-je kunani huko, gari inakwenda gizani.
Mwaka huu sijasikia sana issue ya confirmation number na AVN number, Je hii ni dalili ya mambo kuwa mazuri? Ikiwa hivyo tutakuwa tumepiga hatua.
 
Aiseee ww uko nchi gani? Hayo mambo tayari sikunyingi na awamu ya pili ya kuomba chuo imeshaisha,,sasa hivi nikukomfemu tu!
 
Sept 7 wana-release majina ya waliopata vyuo round 1 & 2.
Cc Unforgetable
 
Aiseee ww uko nchi gani? Hayo mambo tayari sikunyingi na awamu ya pili ya kuomba chuo imeshaisha,,sasa hivi nikukomfemu tu!
Sept 7 wana-release majina ya waliopata vyuo round 1 & 2.

Cc Unforgetable
Ninachotafuta ni takwimu za wangapi waliomba na wangapi wamepata vyuo round ya kwanza. Kama wamefanya hivyo niombe hizo takwimu au source-nitashukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…