school boy
Member
- Aug 19, 2014
- 42
- 10
Jaribu kuwasiliana naoMi naaply tcu lakini tcu eti hawaitambui vourcher number waliyo nitumia hivi tatizo nini na nifanyeje
Nakili kwa makini hiyo vocha tofautisha sifuri na o, 0 and o.Mi naaply tcu lakini tcu eti hawaitambui vourcher number waliyo nitumia hivi tatizo nini na nifanyeje
azipatikani au labda kuna namba mbadalaJaribu kuwasiliana nao
yaani nimeangalia sawa kulikua na O nikaandika 0 lakini hata nikibadilisha napo wananiletea hiyo messageNakili kwa makini hiyo vocha tofautisha sifuri na o, 0 and o.