TCU sipendagi ujinga mimi!

we jamaaa ni hatari asee..kweli kwa thread yako hii wawe makini ama utafanya jambo la ajabu..
 
kwane we mtu wa wapi!?tuambiane kabisa tujue uamuzi wako kabla hujasema.
 
Kwa haya mawazo yako na suggest ata chuo usipangwe hufai kusoma elimu ya juu rudia tu shule ya msingi kaakaaaa
Daah mkuu majibu yako ya kashfa siku izi umesaau na ww ulikosa xm Mungu akaziona thread zako za kutishia uruma ukapata kima zabe xx unavo dharau wenzio
kweli maskini akipata
 
Uzi huu umejaa watu wa facebook na whatsapp! Pumba kwenda mbele!
 
Daah mkuu majibu yako ya kashfa siku izi umesaau na ww ulikosa xm Mungu akaziona thread zako za kutishia uruma ukapata kima zabe xx unavo dharau wenzio
kweli maskini akipata
Hahahaaaa sio ivoo kakaa
 
Tulia mkuu hawajaapishwa bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…