incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,530
- 4,274
Mkuu uamuzi gani?Jaman tcu mlipandisha grade ili tufeli ila bado tukachomoa one zetu na two zetu nzuri tu sasa huu ujinga wa kutunyima vyuo na kutusubilisha hivyo second round mnamaanisha nini?mi nimechoka ujinga wenu ikifka kesho kutwa kabla hamjatoa post za second round nitafanya uamzi mgum ambao hamjawahi kusikia!!!
Mmm ww kumbe TACRA ndio wanatoa post za chuo jukwaa limevamiwa na wasomi vivuliWeeeee ropoka ropoka tu kama tcra n babu yako shaur ako ngoja wasome post yako kama utapata chuo na icho kiwan chako cha kukalili
Mhhh!! Umefngk ukwel mtupu!!! Nzr hyo nmeipenda
Kwa haya mawazo yako na suggest ata chuo usipangwe hufai kusoma elimu ya juu rudia tu shule ya msingi kaakaaaaJaman tcu mlipandisha grade ili tufeli ila bado tukachomoa one zetu na two zetu nzuri tu sasa huu ujinga wa kutunyima vyuo na kutusubilisha hivyo second round mnamaanisha nini?mi nimechoka ujinga wenu ikifka kesho kutwa kabla hamjatoa post za second round nitafanya uamzi mgum ambao hamjawahi kusikia!!!