inategemea na idadi ya watakaokosa, ila baada ya round kuisha ili kuhakikisha hakuna atakaekosa chuo na ana vigezo huwa inakuja ile first come first basis yaani unakuwa selected by just a single click system inakucheck eligibility ukifit unapata ukijichanganya ukaomba coz ya ajabu ndo inakuwa imetoka hakuna kurudii