Tcu nimewakosea nini??!!!!!!

Sir.Chemi

Member
Mar 18, 2012
51
1
Sikuwemo kwenye list ya tcu ya waliojaziwa kozi ambazo hawakuomba.
Sikufuatilia kwasababu nlijua inawahusu waliowekewa vyou ambavyo hawakuomba, kwamaana mi nlichaguliwa SUA ambapo nliomba baadh ya kozi.
Nkachaguliwa hapo kozi nyingine ambayo ckuomba. Ss cha kushangaza ktk majina walioyatoa SUA ckuwemo.Nlipofungua ac.yangu Tcu nkaambiwa niconfirm, nkaconfirm
Sasa waswasi wangu n kwamba ntachaguliwa kweli kwenye second round wkt kwenye list simo!
Ushauri jaman maana hapa sina amani kabisa!
 
duh,hata mimi cja comfirm na ile icon ya kucomfirm kwangu haiko active,bt jina langu lipo kwenye chuo,wadau wengine tupen ushaur kuhusu hasara ya kutokucomfirm
 
Halafu hii system inatuchanganya wengi kweli. Yaani utakuta mtu kaandikiwa admitted kwenye chuo fulani, lakini cha kushangaza kwenye chuo husika jina hakuna. Huu ni msiba jamani...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom