TCU ni jipu

TCU ni jipu

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,569
Reaction score
2,584
Mi lini hii time ya vyuo vikuu itafutwa?Maana sio kwa usumbufu huu tunaopata katika kuomba vyuo vya elimu ya juu. Mpaka sasa kuna maelfu ya wanafunzi hawajui hatma yao katika masomo,wameshindwa kabisa kusimamia hebu Waziri mhusika mjue hilo.

Kuna kitu kinaitwa confirmation codes ambapo unatumiwa kama umechaguliwa chuo zaidi ya kimoja sasa vioja ni kwamba wanaotoa hizo codes ni hao TCU lakini mpaka sasa hawajatoa na deadline ni leo na humu tangazo la kuconfirm limetoka jana sasa hii inakuwaje hebu Rais tusaidie sisi wanyonge
 
Mi lini hii time ya vyuo vikuu itafutwa?Maana sio kwa usumbufu huu tunaopata katika kuomba vyuo vya elimu ya juu.mpaka sasa Luna maelfu ya wanafunzi hawajuo hatma yao katika masomo,wameshindwa kabisa kusimamia hebu Waziri mhusika mjue hilo.kuna kitu kinaitwa confirmation codes ambapo unatumiwa kama umechaguliwa chuo zaidi ya kimoja sasa vioja ni kwamba wanaotoa hizo codes ni hao tcu lakini mpaka sasa hawajatoa na deadline ni Leo na humu tangazo LA kuconfirm limetoka Jana sasa hii inakuwaje hebu Rais tusaidie sisi wanyonge

WAMEONA WENGI NI VILAZA.

KWA MWANDIKO HUU, BORA MSIENDE UNIVERSITY.
 
Kupata tu chuo ni tabu kwa Tanzania yetu hii
Warudishe mfumo wa zamani... ule ulikuwa mzuri kwasababu:
1.kozi ikijaa mfumo unaaonyesha
2.idadi ya waliomba pia

#according to albert einsten"problem cant be solved by the same level of thinking"
 
TCU inafanya kazi nzuri sana. Nawashangaa hawa vijana waliobalehe juzi wanakuja na tuhuma za kipuuzi puuzi tu.
 
  • Thanks
Reactions: snn
Back
Top Bottom