Kwa wale wanao apply chuo kikuu kupitia TCU/NACTE watakubaliana nami kuwa mfumo kuanzia majuzi bado inaruhusu applications na changes mbalimbali.
Applicants wanazidi kuongezeka ama kupungua kwenye choices mbalimbali.
Source: Ma group ya WhatsApp.
------------------------------------------------------------
My take: Sasa sytem kusema itafungwa tarehe 31.08.2016 saa sita usiku ilikuwa na maana gani?!
Karibuni wajuzi!