TCU na vyuo vikuu Mwaka huu

Tungstar

Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
53
Reaction score
14
Ni kweli MTU anaweza kuomba third round wakati majibu ya second round bado ! mpaka sasa vyuo Vingine havijatoa majina ya second round! mbaya zaidi tar 18/10/17 mwisho wa maombi awamu ya tatu. inabidi wajitathimi sana sio kuumiza watu kwa kutumia gharama zisizitakiwa! waangalie zaidi mfumo UPI ambao ni bora wenye tija kwa watumiaji wote!
 
Naunga mkono hoja hii
 
title jamani samahani nimeandika Mwana badala ya Mwaka.
 
Kusema vyuo ndo avieshimu ratiba za tcu maana kila kitu tcu ikisema hivi vyuo vinatoa kwa tar zao wenyewe
 
Nilisema mwaka huu ni vurugu bin vurugu! TCU wanakaribisha 2 na 3 round bila kuainisha program na vyuo ambavyo bado vina nafasi! Kama wameshindwa wajitoe babisa wabaki na quality control tu! Wawe wanatembelea vyuo baada ya vyuo kufungua ili wajiridhishe kama waliodahiliwa wanakidhi vigezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…