Naomba ushauri. Nimechaguli iringa university na wanafungua j3 na ataeshindwa kuripoti j3 amejiondoa mwenyewe chuo na mm upande wa pili nimeomba nihamishwe chuo je nifanyaje sababu nkienda kuripoti j3 na ada lazma nlipe, je kuna anaejua majina yatatoka rasmi lin kwa wale tulioomba transfer?