Msaada kwa aliyefanikiwa kuapply leo hii maana hawa jamaa wametuambia kwamba tutaanza kuapply leo trh 7 mwezi huu lakini bado system yao inakataa kupokea program choice zaidi ya nne nawakati wao wanasema chaguo la chini lisipungue 6 programs, lakini hata hizo sita hazifiki goma linachomoa na kukurudisha nyuma kwa home page, msada tafadhari