TCU mtatuua kwa presha

Ila first priority nime take health system n management mzumbe
Ila sijui kam nitapata maaana in competition sana admission capacity yao ni 90 ila watu wamefika 2000
 
Ila first priority nime take health system n management mzumbe
Ila sijui kam nitapata maaana in competition sana admission capacity yao ni 90 ila watu wamefika 2000

Kwenye Uzi wako mwingine nimeona TELECOMMUNICATIONS UDSM!!!!!!
 
hivi hawa TCU wanataka nn toka saa sita mpaka sasa nafungua web yao inagoma tu sasa sijajua lengo lao ni lipi.
 
Wamefungua ukiingia kwenye profile yako utakuta wameandika tu kama umechaguliwa bila kuweka chuo unachoenda,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…