Tcu mnanionea..!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcu mnanionea..!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kdany, Aug 21, 2012.

 1. k

  kdany Senior Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wakuu,nadhani tatizo kama langu limewapata wengi,niliomba vyuo kulingana na uwezo wangu,na anaeni spons yupo dar,na anataka niwe pale ili asiingie cost kubwa katka kunisaidia kimaisha,lakini cha kushangaza,DUCE nilikuwa ELIGBLE,na nikamshukuru Mungu kwamba ntapata msaada mzuri mpaka namalza chuo,cha kushangaza hawa jamaa wamenichagua TEKU,chuo ambacho hata sikujaribu kukiomba,kutokana na gharama zake na c hvyo tu bal hata hakikuendana na condition nilzopewa na sponser wangu,sasa wakuu,kuna kitu naweza kufanya kama kubadilisha chuo il nifikie malengo yangu,na kama ni ndio naanzia wapi?ukizingatia sikuomba mkopo due to some problems.thank you.
   
 2. Geezzle

  Geezzle JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 835
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kawaone tcu,watakupa go ahead kaka!bt mchakato utakaoufanya ni kuomba uhamsho!kwakua tcu wanahucka na uhamsho watakukubalia kuhama!uc hanye sn kaka!do that
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  uhamsho ndio nini..
   
Loading...