ok, nimekusoma yaani najuta kwa nn mwaka jana nilipata nafas sikuahirisha kiofisi UDOM. yaani usilolijuwa!!!! maana nimebaki na karata moja tu ya UDOM dirisha wamefunga matokeo bado..unaposikia kichwa kinasizi hata ukienda chooni unasahau umekwenda kufanya nini ndiyo wakati kama huu.bado sijampata alijibiwa kama kapataa
duu hatarii mdaa umeisha kuna vyuo vingine ukiingia round ya 3wanaandika application closednimewapigia udom kama dk kumi zilizopita wameniambia hawajatoa ila wako hatua za mwisho kutoa, na nilivyomuuliza sasa mtu akikosa wakati raund 3 imeshaisha itakuwaje kaniambia hilo liko nje ya uwezo wao labda TCU ndiyo watajuwa la kufanya.
achaa tu broo hata mi nilipata nafasi mwaka jana lakin sikwendwa mwaka huu nimesumbuka sana kujitoa tcu ili niombe upya ndio nimepata nafasi round hii kuombaaok, nimekusoma yaani najuta kwa nn mwaka jana nilipata nafas sikuahirisha kiofisi UDOM. yaani usilolijuwa!!!! maana nimebaki na karata moja tu ya UDOM dirisha wamefunga matokeo bado..unaposikia kichwa kinasizi hata ukienda chooni unasahau umekwenda kufanya nini ndiyo wakati kama huu.
hata walio kwenye multple hawaelewi atima yao maana udahili wa awamu ya pili ovyo ovyoDuh jamani dogo wangu ananipigia mda huu ananiambia kachaguliwa na SUA na SAUT.
Cha ajabu TCU nasikia wametoa list of multiple selections lakini jina leke halipo.
Jamani wadogo zangu mnaofuatilia haya mambo ebu nipeni mwongozo nimsaidie dogo.
yaani we acha tu hata mimi nilikwenda TCU kujitoa lakini bado miyeyusho yaani.achaa tu broo hata mi nilipata nafasi mwaka jana lakin sikwendwa mwaka huu nimesumbuka sana kujitoa tcu ili niombe upya ndio nimepata nafasi round hii kuombaa
NIT na SUA vp?unipe mrejesho kama uchangishaji huo una maslahi maana hata mimi naona giza application za mwaka huu mtihani na sijuw UDO NA MZUMBE wamepatwa na nini mpaka sasa hawajatoa majina!!
nasikia SUA walitoa toka jana ingia kwa akaunt yakoNIT na SUA vp?
Asbh niliwapgia cm chuo cha diplomasia wakanishangaa kuulza nafas wakat dirisha limefungwa jana.... Natafakar cjui mzumbe wakinitosa itakuwaje, nmekaa mwaka mzma af tena na mwaka huu daaahhhh ntatafta hta scholaship za zambia kwakwelduu hatarii mdaa umeisha kuna vyuo vingine ukiingia round ya 3wanaandika application closed
fanya ivi rudia tena kwa mara ya 3 alafu angalia zile coz ambazo azina sana u competition maana ndalichako kasema watakao kosa vyuo awamu ya kwanza watakosa adi mikopo wewe chagua coz laini kama kichina ki japan alafu ukifika chuo unakwenda badilisha la siivyo utakaa mpaka mwezi wa 5 ukisubiri chuo na wadogo zako form six wa sasakuna uzi mtu katuma amejibiwa ivii udomView attachment 879608