M Mgimiloko Member Joined Aug 15, 2012 Posts 24 Reaction score 2 Sep 3, 2012 #1 Yaani baada ya kuongeza muda wa 2nd round,hii sasa sijui tuiite 3rd round? Hadi tarehe 7 tena mwezi wa 9.....Namna Heslb si 18?
Yaani baada ya kuongeza muda wa 2nd round,hii sasa sijui tuiite 3rd round? Hadi tarehe 7 tena mwezi wa 9.....Namna Heslb si 18?
Z Ze Blessed Senior Member Joined Aug 12, 2012 Posts 123 Reaction score 13 Sep 3, 2012 #2 Daah hawa kweli ni watu wa ajabu, kuna watu wanawahi kufungua vyuo cjui hawajui? Yan ndugu kama ni kweli wametuweza makabwela, ila tuombe Mungu sana.
Daah hawa kweli ni watu wa ajabu, kuna watu wanawahi kufungua vyuo cjui hawajui? Yan ndugu kama ni kweli wametuweza makabwela, ila tuombe Mungu sana.
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Sep 3, 2012 #3 jiandaeni wakuu majina yanatoka af umepangiwa chuo kinachofungua kesho yake hahaha
F fahad1208 Member Joined Aug 11, 2012 Posts 34 Reaction score 5 Sep 3, 2012 #4 Mgimiloko said: Yaani baada ya kuongeza muda wa 2nd round,hii sasa sijui tuiite 3rd round? Hadi tarehe 7 tena mwezi wa 9.....Namna Heslb si 18? Click to expand... Hiyo inawahus wale wa diploma{NTL 6 Level} ambao walishindwa kuapply kwenye 2nd around
Mgimiloko said: Yaani baada ya kuongeza muda wa 2nd round,hii sasa sijui tuiite 3rd round? Hadi tarehe 7 tena mwezi wa 9.....Namna Heslb si 18? Click to expand... Hiyo inawahus wale wa diploma{NTL 6 Level} ambao walishindwa kuapply kwenye 2nd around
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,134 Reaction score 664 Sep 3, 2012 #5 Sasa hawa jamaa sijui watapata nini,nafasi zilizobaki wazi ni sawa na hakuna kitu. Nafasi ya mtu kupata chaguo lake ni ngumu sana, Namshukuru Mungu nilipata 1st round.
Sasa hawa jamaa sijui watapata nini,nafasi zilizobaki wazi ni sawa na hakuna kitu. Nafasi ya mtu kupata chaguo lake ni ngumu sana, Namshukuru Mungu nilipata 1st round.
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,134 Reaction score 664 Sep 3, 2012 #6 Mgimiloko said: Yaani baada ya kuongeza muda wa 2nd round,hii sasa sijui tuiite 3rd round? Hadi tarehe 7 tena mwezi wa 9.....Namna Heslb si 18? Click to expand... sidhani kama hii itaathiri heslb,hawa wanajishughulisha zaidi na direct applicants.
Mgimiloko said: Yaani baada ya kuongeza muda wa 2nd round,hii sasa sijui tuiite 3rd round? Hadi tarehe 7 tena mwezi wa 9.....Namna Heslb si 18? Click to expand... sidhani kama hii itaathiri heslb,hawa wanajishughulisha zaidi na direct applicants.