sir doctor
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 291
- 66
Wakuu ni mwezi Wa name Sasa. Tume mpaka Sasa hawajatoa deadline za kuomba chuo? Mwenye kujua au kumfahamu mwisho lini anisaidie!!!!
Be careful sio kila MTU anaomba nacte???hiyo ni yako na nacte watch out with your wordKweli wewe nunda.
Kila kitu kiko wazi mtandaoni.
Ni 05/08/2016.
Au tukuambie pia ni siku gani?
Sio kwa nacte kweli???? Unaosema weweMwisho tarehe 5/08/2016.
Source plzTCU hiyo, chijanganye utaisoma number.
Source of informationChili source au tomato source?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Various media
Some howNACTE DEADLINE 05/08, TCU DEADLINE 30/08.
Point!!!¡Deadline ya tarehe 05/08 ni ya NACTE Udahili Wa Certificate na Diploma,,, kwa wale Wa bachalor degree tuweni na subira wakimaliza majadiliano yao tutapewa muongozo.... Source nimeenda OFISI ZA Nacte Central Dodoma ndo nikaambiwa hivyo...