TCU computer expert wanabahatisha

frankmkushi

Member
Aug 15, 2012
13
2
Hawa tcu wanacheza 2 con kama wanafanya kazi mara ur admitted baada ya muda eligible ukirefresh wanakupa na chuo ulichochaguliwa tatzo likaja kw wengine walio mbali na info tech mpk wanakuja kufungua profile zao wanakuta k2 hakipo. Mi naona hawa expert wababaishaji kama kuna wale wanaosoma ki2 cha computer wakaze buti wa2ondolee hawa wababaishaji wa tcu. Mpk saiv wengne wana2ona liars cuz hawajakuta k2.
 
hivi mtu anachaguliwaje course ambayo hakuomba? Hii CAS iko sawa kweli?
 
Dah kila cku wana2pa presha mcshangae kesho wakalet mkopo wakawek wengne 0% wa2 2kafa kwa presha. Af unakuta tn umepewa 80% kabla hujamalza kushangilia unakuta k2 20%
 
Back
Top Bottom