herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,199
- 1,378
Tuna imani humu wengi wanapitia kama sio wahusika basi hata jamaa na marafiki zao wawafikishie ujumbe huu na watekeleze ili kutenda HAKI sababu hakuna kitu kizuri kama kutenda HAKI ndugu.maelezo mazuri wasiwasi wangu cjui kama wataipata na ata wakiipata kama wataitekeleza
ikifika mahali watoto wa vigogo wanaisoma namba ndo angalau tutaona auheni ila kwa sasa tcu wameamua kuua nyani bila kumtazana usoni[emoji24] [emoji24] [emoji22] [emoji22]
ahaa kuna vyuo vinadai wanafunzi kufikia 597 kwa koz moja yan kicheko na ukikosa second round jiandae na third round usikate tamaa katikati ya magumu na miujiza hujitokeza.........huku sisi tuna 2 hatujapata chuo je hao wengine watakao punguziwa??
Kweli mdau asikate tamaa.ahaa kuna vyuo vinadai wanafunzi kufikia 597 kwa koz moja yan kicheko na ukikosa second round jiandae na third round usikate tamaa katikati ya magumu na miujiza hujitokeza.........
Unalia lia nini...nenda karudie mtihani wewe acha kupigapiga keleleKuteleza sio kuanguka TCU mengi mnayoamua ni ya hovyo sana hapa HAKI itakuwa haijakamilika kama hamtarekebisha na cutoff points kwa form six graduates.
Kumbukeni maamuzi mliyatoa kwa wote Diploma Holders na Form Six graduates kupandisha GPA na Cutoff point wote wakiwa wameshafanya mitihani inakuaje mnabatilisha maamuzi yenu kwa Diploma Holders pekee na kuacha Form Six graduates wakihukumiwa kwa kigezo kilekile mlichopanga wakiwa wameshafanya mitihani?
Hivi hii ni mnatenda HAKI ?
Hawa pia ni watoto wa makapuku, wanyonge, pangu pakavu msiporekebisha machozi ya damu na jasho la watu hawa bado itakuwa ni juu yenu hakika.
Awali niliandika humu kupinga mengi ya hovyo mnayofanya ikiwa mda mdogo wa usajili kwa Diploma holders mkaongeza, GPA mmerekebisha sasa rekebisheni na kwa Form Six graduates.
TCU mnafanya haya madudu kwa faida ya nani?
Wanafunzi wa Diploma mliodhulumiwa fedha zenu fungueni kesi mahakamani dhidi ya TCU
[HASHTAG]#TUNATAKA[/HASHTAG] ELIMU BORA MADUDU NA MAIGIZO KWENYE ELIMU SASA YATOSHA.
usjali kijana vyuo vipo vya kutosha tu hata na wao wakija tutapata woteehuku sisi tuna 2 hatujapata chuo je hao wengine watakao punguziwa??
Umeelewa nilichoandika?Unalia lia nini...nenda karudie mtihani wewe acha kupigapiga kelele
Wanafanya vituko na vimbwanga yani mpaka unashangaa.dah yaan TCU ni bonge la jipu yaan wanatupa stress zisizo za msingi wanaboa sana mpaka sasa wajatoa first selection kwa wahitimu wa diproma fyuuuuu
Nani hajielewi kati ya mimi na wewe uliyekuwa unanyoa viduku wakati wenzio wapo kusomaujielewi wewe na wala ujui nn kinachoendelea
We c unatetea ujinga baada ya kuwashauri wadogo wasome kwabidiiUmeelewa nilichoandika?
Halafu nirudie mtihani ili iweje?
unaona ndo mana nakwambia ujielew wew mm nshapenyaga nawaskitikia walo nyuma yanguNani hajielewi kati ya mimi na wewe uliyekuwa unanyoa viduku wakati wenzio wapo kusoma
Unawasikitia kwa lipiunaona ndo mana nakwambia ujielew wew mm nshapenyaga nawaskitikia walo nyuma yangu
kwa wanavo katishwa tamaa ya maish hasa ukizngatia hiz marks mpya zilikuj baada ya wao kufny mtihan jaribu kufkiria usijifany wewe unauchungu saaaana na hii elim ya bongoUnawasikitia kwa lipi