Ngiyemenya
Member
- Aug 11, 2016
- 67
- 32
Duuh kama ivo basi umenuku tena,,,,,, ww c form6Wna jamii miimi nashangaa sana nimeingia katika profile yangu katika vyuo vyote nilivyoomba nashangaa kaika admission capacity wameweka zero(0) wakati hapo mwanzo kulikuwa na idadi sasa sijui wanamaanisha nini manake nimechaganyikiwa,
yaani mimi hatasielewi kwann wanatufanyia hivyiDaaaah hata Mimi hilo suala la capacity kuwa zero limenitisha kiaina
Mkuu yan sina tena hata mzuka wa kusubiria iseeyaani mimi hatasielewi kwann wanatufanyia hivyi
capacity kuwa zero sio tatizo na haimaanishi kuwa hujachaguliwa ila humaanisha kuwa nafasi zimejaa katka cozi husika na si vinginevyoyaani mimi hatasielewi kwann wanatufanyia hivyi
yaani hata hamu sina ngoja tumwombe mungu tu lakini TCU & NACTE mungu anawaonacapacity kuwa zero sio tatizo na haimaanishi kuwa hujachaguliwa ila humaanisha kuwa nafasi zimejaa katka cozi husika na si vinginevyo
cha muhimu tusubir selection mpaka mwisho.
Waambie hatutaki uji$$$ sisi.yaani hata hamu sina ngoja tumwombe mungu tu lakini TCU & NACTE mungu anawaona