TCRA wasikilizeni watanzania

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
kwanini wanaapuuzia malalamiko ya watanzania? Mpaka sasa nashindwa kuelewa kwanini wanafanya hivyo wakuu
Kuna haja ya kutokuwepo tcra
 
Walivyokuwa wanazima analojia walituaminisha kuwa local in chanels zitakuwa bure lakini wamefumbia macho kama Hawalioni hilo na inafikia hatua baadhi ya visimbusi haivioneshi stesheni ya taifa mpaka ulipie... So annoying
 
Back
Top Bottom