Nilisikia wakati wa uzinduzi kuwa sasa TCRA wanamitambo inayoweza kupata mawasiliano yote ya ndani na yale ya kimataifa!!
Naona kwa hili la Whatsapp hawataweza!
Bora wawe wazi kuwa kuna mawasiliano mengine hawataweza kuyadukua.
View attachment 1000243