TCRA wanaifahamu App ya MS Tanzania?

TCRA wanaifahamu App ya MS Tanzania?

Mara kwa mara nimekuwa nikisoma post mbali mbali katika mitandao watu wakilalamikia App ya MS TANZANIA (Mobile Solutions Tanzania APPS) ambayo inapatikana kupitia PLAY STORE. Inadaiwa kuwa ukiidownload APP hii unaweza kuingilia na kupokea mawasiliano ya simu ya mtu mwingine kama vile ujumbe mfupi, WhatsAPP msg zake, simu anazopigiwa n.k.

Nilijaribu kuidowanload na kugundua kuwa ni kweli ipo APP ya aina hiyo na inajinadi kuwa na uwezo wa kuingilia mawasiliano ya watu wengine kwa gharama za Shs 36,000/= tu ambazo hutakiwa kulipwa kupitia namba ya Tigopesa Namba 0716489451. Pia mhusika anadai kuwa ukishalipia tuma ujumbe wa muamala huo wa Tigopesa kwa namba ya simu 0755809046 ili aweze kukutambua kuwa umelipia ndio akutumie "ACTIVATION CODE".

Je huu sio uhalifu wa kimtandao? Kitendo cha kuingilia mawasiliano ya watu sio makosa ya jinai? Wadhibiti wa sekta ya mawasiliano wanasemaje kuhusu hili?
Naona unatangaza biashara mkuu!!!
 
Nasikia harufu ya mtu kupigwa kekundu
 
Kwa akili ya kawaida eti software kwenye play store udownload itumike kuhack maongezi ya WhatsApp ,yaani kampuni kubwa ya WhatsApp iliyoajiri wataalamu wengi wa security nk ihakiwe na software iliopo play store

Hii kitu nilionaga ikisambazwa kwenye group moja nikawa najiuliza hv watu hawajui kuwa hakuna software dunian inayoweza kuhack kirahisi rahisi ase yani udawnload uactivate halaf udukue it security wa WhatsApp watakuwa wapumbavu

Hao jamaa ni matapeli na cyo mpk uwe na utambuzi wa it ujue kama hao ni matapeli ..
 
huyu jamaa ni kibaka tu...ukimtumia hiyo hela anakwambia ulipie na hela kwa ajili ya Gps kama elfu 25 hiv..na hata ukimpa hakuungi..huyo jamaa ni mwizi kabisaa..usijaribu mkuu
 
Kwa akili ya kawaida eti software kwenye play store udownload itumike kuhack maongezi ya WhatsApp ,yaani kampuni kubwa ya WhatsApp iliyoajiri wataalamu wengi wa security nk ihakiwe na software iliopo play store

Hii kitu nilionaga ikisambazwa kwenye group moja nikawa najiuliza hv watu hawajui kuwa hakuna software dunian inayoweza kuhack kirahisi rahisi ase yani udawnload uactivate halaf udukue it security wa WhatsApp watakuwa wapumbavu

Hao jamaa ni matapeli na cyo mpk uwe na utambuzi wa it ujue kama hao ni matapeli ..
Software za kudukua mawasiliano zipo nyingi tu sema hazipatikani kwenye hizi app stores tunazotumia
 
Back
Top Bottom