TCRA wanaifahamu App ya MS Tanzania?

TCRA wanaifahamu App ya MS Tanzania?

WATANABE

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
1,092
Reaction score
468
Mara kwa mara nimekuwa nikisoma post mbali mbali katika mitandao watu wakilalamikia App ya MS TANZANIA (Mobile Solutions Tanzania APPS) ambayo inapatikana kupitia PLAY STORE. Inadaiwa kuwa ukiidownload APP hii unaweza kuingilia na kupokea mawasiliano ya simu ya mtu mwingine kama vile ujumbe mfupi, WhatsAPP msg zake, simu anazopigiwa n.k.

Nilijaribu kuidowanload na kugundua kuwa ni kweli ipo APP ya aina hiyo na inajinadi kuwa na uwezo wa kuingilia mawasiliano ya watu wengine kwa gharama za Shs 36,000/= tu ambazo hutakiwa kulipwa kupitia namba ya Tigopesa Namba 0716489451. Pia mhusika anadai kuwa ukishalipia tuma ujumbe wa muamala huo wa Tigopesa kwa namba ya simu 0755809046 ili aweze kukutambua kuwa umelipia ndio akutumie "ACTIVATION CODE".

Je huu sio uhalifu wa kimtandao? Kitendo cha kuingilia mawasiliano ya watu sio makosa ya jinai? Wadhibiti wa sekta ya mawasiliano wanasemaje kuhusu hili?
 
umeshabpata feedback yoyote kutoka kwa aliye wahi kutumia? au ni just a prank?
 
nawewe ni muhusika au? maana naona unipigia hiyo app promo!
 
Mkuu asante kwa uzi wako..

Sasa naomba nikueleze jinsi hizo app zinavofanya kazi

Hiyo app unainstall kwenye simu ya mhanga wako.. Na kuactivate kwenye hiyo simu alaf ndo unaiconnect na simu/email yako ili kupata taarifa za simu ya mhanga..ni kama mfumo ya keyloggers..

So maana halisi mi kwamba huwez kudukua mawasiliano ya mtu bila kuweka hiyo app kwenye simu ya mhanga.. Hiyo simu ndio daraja.. Hivyo labda uweke kwa simu alaf umpe huyo mtu hiyo simu ulioweka au uweke kinyemela bila yeye kujua.

Pia internationaly hizo app zinakubalika kabisaa ndo mana zipo app za keylogging kwa sababu hizo app zinatumika kucontroll device zako binafsi ndo mama hazichukuliwi kama za kihalifu.. Kwa mfano hiyo app umayosema ukiiweka kwa simu alaf ukampa mtoto wako ina maana unaweza ukadhibiti matumizi yake ya simu au hata ikiibiwa unakua na uwezo wa kuitrace kirahisi..

Kingine tambua kua hakuna kosa mpaka kuwe na mashitaka. Kwa mfano nikikutukana mtandaoni na ww ukakaa kimya basi ujue hakuna kosa.. Ila ukinishitak ndo linahesabika kama kosa la mtandao..

Kama hujanielewa tell me nitajaribu kuweka clear zaid kadir ya uwezo wangi
 
Nashukuru sana kwa kutuelimisha wote ambao tulikuwa hatufahamu namna inavyoweza kufanya kazi. Kama nimekuelewa vyema bila ya hiyo app kuwa installed katika simu inayokusudiwa kudukuliwa mtu hawezi kuingilia mawasiliano yako binafsi.
 
Mkuu asante kwa uzi wako..

Sasa naomba nikueleze jinsi hizo app zinavofanya kazi

Hiyo app unainstall kwenye simu ya mhanga wako.. Na kuactivate kwenye hiyo simu alaf ndo unaiconnect na simu/email yako ili kupata taarifa za simu ya mhanga..ni kama mfumo ya keyloggers..

So maana halisi mi kwamba huwez kudukua mawasiliano ya mtu bila kuweka hiyo app kwenye simu ya mhanga.. Hiyo simu ndio daraja.. Hivyo labda uweke kwa simu alaf umpe huyo mtu hiyo simu ulioweka au uweke kinyemela bila yeye kujua.

Pia internationaly hizo app zinakubalika kabisaa ndo mana zipo app za keylogging kwa sababu hizo app zinatumika kucontroll device zako binafsi ndo mama hazichukuliwi kama za kihalifu.. Kwa mfano hiyo app umayosema ukiiweka kwa simu alaf ukampa mtoto wako ina maana unaweza ukadhibiti matumizi yake ya simu au hata ikiibiwa unakua na uwezo wa kuitrace kirahisi..

Kingine tambua kua hakuna kosa mpaka kuwe na mashitaka. Kwa mfano nikikutukana mtandaoni na ww ukakaa kimya basi ujue hakuna kosa.. Ila ukinishitak ndo linahesabika kama kosa la mtandao..

Kama hujanielewa tell me nitajaribu kuweka clear zaid kadir ya uwezo wangi
Na wewe ni mmoja kati ya wale??? Fanyeni kazi halali acheni utapeli nyambaaaaaaf
 
Mara kwa mara nimekuwa nikisoma post mbali mbali katika mitandao watu wakilalamikia App ya MS TANZANIA (Mobile Solutions Tanzania APPS) ambayo inapatikana kupitia PLAY STORE. Inadaiwa kuwa ukiidownload APP hii unaweza kuingilia na kupokea mawasiliano ya simu ya mtu mwingine kama vile ujumbe mfupi, WhatsAPP msg zake, simu anazopigiwa n.k.

Nilijaribu kuidowanload na kugundua kuwa ni kweli ipo APP ya aina hiyo na inajinadi kuwa na uwezo wa kuingilia mawasiliano ya watu wengine kwa gharama za Shs 36,000/= tu ambazo hutakiwa kulipwa kupitia namba ya Tigopesa Namba 0716489451. Pia mhusika anadai kuwa ukishalipia tuma ujumbe wa muamala huo wa Tigopesa kwa namba ya simu 0755809046 ili aweze kukutambua kuwa umelipia ndio akutumie "ACTIVATION CODE".

Je huu sio uhalifu wa kimtandao? Kitendo cha kuingilia mawasiliano ya watu sio makosa ya jinai? Wadhibiti wa sekta ya mawasiliano wanasemaje kuhusu hili?
Huu ni wizi. Achana nao mkuu.
 
Mkuu asante kwa uzi wako..

Sasa naomba nikueleze jinsi hizo app zinavofanya kazi

Hiyo app unainstall kwenye simu ya mhanga wako.. Na kuactivate kwenye hiyo simu alaf ndo unaiconnect na simu/email yako ili kupata taarifa za simu ya mhanga..ni kama mfumo ya keyloggers..

So maana halisi mi kwamba huwez kudukua mawasiliano ya mtu bila kuweka hiyo app kwenye simu ya mhanga.. Hiyo simu ndio daraja.. Hivyo labda uweke kwa simu alaf umpe huyo mtu hiyo simu ulioweka au uweke kinyemela bila yeye kujua.

Pia internationaly hizo app zinakubalika kabisaa ndo mana zipo app za keylogging kwa sababu hizo app zinatumika kucontroll device zako binafsi ndo mama hazichukuliwi kama za kihalifu.. Kwa mfano hiyo app umayosema ukiiweka kwa simu alaf ukampa mtoto wako ina maana unaweza ukadhibiti matumizi yake ya simu au hata ikiibiwa unakua na uwezo wa kuitrace kirahisi..

Kingine tambua kua hakuna kosa mpaka kuwe na mashitaka. Kwa mfano nikikutukana mtandaoni na ww ukakaa kimya basi ujue hakuna kosa.. Ila ukinishitak ndo linahesabika kama kosa la mtandao..

Kama hujanielewa tell me nitajaribu kuweka clear zaid kadir ya uwezo wangi
Kweli Biashara matangazo.
 
utapelekwa ka babu wakikombe.playstore aitunzi vitu vya kiovu ikipitia na kukagua ndo inaweka.labda huweke pengine kuto pitia playstore
 
vip khs apps za namna hiyo zilizotengenezwa nje? TCRA wataziondoaje, maana zipo nyingi mfanno dr fone
 
Kama unataka apps za hivyo ni bora ukanunua uko play store kuliko hii yakutuma pesa ili utumiwe activation code.
 
We ni mjinga kuliko waJnga wote naowajua kwahiyo ukaona Jf kuna mafala? Huu ujinga wako pelela fb
 
Back
Top Bottom