kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 177
Tanzania ukiwa na kipaji cha kucheza na akili za baadhi ya makundi unaweza kuwatawala mpaka uchoke mwenyewe.
Tumepokea kwa masikitiko taarifa hii. Mkurugenzi Mkuu ameagiza taarifa itolewe kwa nini wao hawajapata hizo Kompyuta na Je kuna mawasiliano yametokewa?
Pamoja na kwamba wahusika wana mawasiliano na TCRA na wangeweza kuuliza moja kwa moja, tunaheshimu njia waliyoamua kutumia!
Taarifa rasmi itatolewa kuhusu tuhuma hizi na tunashukuru kwa JF kupaza sauti ili kuhakikisha ahadi ambayo ni haki ya shule husika inatekelezwa.
Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunaahidi kutoa taarifa halisi bila kuficha au kujitetea!
TCRA ni taasisi makini na inapenda kuhakikishia wadau wote haikuwa ahadi hewa na Kompyuta husika zilikuwa tayari tangu 17/5/2015.
Taarifa rasmi kuhusu nini kimetokea itawekwa hapa.
Asante.

nyie sio watu wema hata kdogo yaan tunalipia local channel?Tumepokea kwa masikitiko taarifa hii. Mkurugenzi Mkuu ameagiza taarifa itolewe kwa nini wao hawajapata hizo Kompyuta na Je kuna mawasiliano yametokewa?