TCRA Walikabidhi Kompyuta hewa? Mamlaka yafafanua...

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
2,325
Reaction score
724
Wakuu, nilishuhudia mchakato washindano la kupewa computer kwa shule za sekondari. Zipo shule kadhaa zilizoshinda nakumbuka mojawapo ni Mpanda girls.

Waliwaita walimu kutoka katika kila shule zilizoshinda wakafundishwe kutumia toka mwaka jana.Wakawaambia mkifika tu shuleni tayarisheni chumba,tunaleta computer.Baadae wakabadili utaratibu na kusema waje huku Dar wakuu wa shule.

Walipo enda wakaona tafrija imeandaliwa kwa kuwapo computer za shule moja tu na anankabidhiwa mkuu mmoja kwa niaba lakini naye haondoki nazo bali Waziri wa sayansi alimkabidhi.

Baadae wakaambiwa ninyi nendeni zitakuja shuleni.Lakini mpaka leo hakuna cha computer wala nini lakini wao walijitangaza mbele ya vyombo vya habari kama TBC kwa week kadhaa kuwa wametoa computer kumi na mbili kwa kila shule.

Sasa kwanini wataalam wetu wanakuwa wasanii.Vyumba vilisha tayarishwa na ilibidi matumizi mengine ya vyumba hivyo yali ahirishwa kupisha ujio wa computer.

Sasa jamani ndiyo maana hatuendelei usanii mwingi mno.Nilimsikia mmoja wa walimu akisema bora twende kumwona waziri kwanini alitukabidhi computer hewa.

=======
Majibu ya TCRA:
Tumepokea kwa masikitiko taarifa hii. Mkurugenzi Mkuu ameagiza taarifa itolewe kwa nini wao hawajapata hizo Kompyuta na Je kuna mawasiliano yametokewa?

Pamoja na kwamba wahusika wana mawasiliano na TCRA na wangeweza kuuliza moja kwa moja, tunaheshimu njia waliyoamua kutumia!

Taarifa rasmi itatolewa kuhusu tuhuma hizi na tunashukuru kwa JF kupaza sauti ili kuhakikisha ahadi ambayo ni haki ya shule husika inatekelezwa.

Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunaahidi kutoa taarifa halisi bila kuficha au kujitetea!

TCRA ni taasisi makini na inapenda kuhakikishia wadau wote haikuwa ahadi hewa na Kompyuta husika zilikuwa tayari tangu 17/5/2015.

Taarifa rasmi kuhusu nini kimetokea itawekwa hapa.

Asante.
 
Wakuu, nilishuhudia mchakato washindano la kupewa computer kwa shule za sekondari.Zipo shule kadhaa zilizoshinda nakumbuka mojawapo ni Mpanda girls.

Waliwaita walimu kutoka katika kila shule zilizoshinda wakafundishwe kutumia toka mwaka jana.Wakawaambia mkifika tu shuleni tayarisheni chumba,tunaleta computer.Baadae wakabadili utaratibu na kusema waje huku Dar wakuu wa shule.

Walipo enda wakaona tafrija imeandaliwa kwa kuwapo computer za shule moja tu na anankabidhiwa mkuu mmoja kwa niaba lakini naye haondoki nazo bali Waziri wa sayansi alimkabidhi.

Baadae wakaambiwa ninyi nendeni zitakuja shuleni.Lakini mpaka leo hakuna cha computer wala nini lakini wao walijitangaza mbele ya vyombo vya habari kama TBC kwa week kadhaa kuwa wametoa computer kumi na mbili kwa kila shule.

Sasa kwanini wataalam wetu wanakuwa wasanii.Vyumba vilisha tayarishwa na ilibidi matumizi mengine ya vyumba hivyo yali ahirishwa kupisha ujio wa computer.

Sasa jamani ndiyo maana hatuendelei usanii mwingi mno.Nilimsikia mmoja wa walimu akisema bora twende kumwona waziri kwanini alitukabidhi computer hewa.
Mmoja alisepa nazo nini?Lakini si muwe wakweli tu kusudi chumba wakitumie kwa matumizi mengine?
 
Tatizo ni sisi wenyewe Watanzania

Usanii tunao mwingi, tunaupenda na kuukumbatia...

Tunautumia usanii kuteua viongozi wasanii wanaoutumia mamlaka kama platform ya kuperform usanii wako kwa kuteua wasanii wenzao kuendeleza usanii wao

Mwaka huu tuna nafasi ya kurekebisha makosa.....au kuendeleza ujuha wa kisanii
 
nikweli mkuu maana aliye kabidhi ni Waziri na ndiyo yuko jimboni kuomba ridhaa.Kwa lugha ya mjini wapigwe chini.wanataka kuonekana ni watu azuri kumbe wako ofisini kisanii!
 
watawaambia hazijaombewa vibali bado
 
Hatuwezi kuwaogopa wakati ni ukweli.Hiyo cyber law na ije tu.Hiyo cyber law ianze na tcra wanao utangazia uma uongo
Ina makosa kibao ila wameamua kuiweka hewani madhumuni kwa ajili ya uchaguzi ili wananchi wasizungumzie machafu ya CCM yaliyoitafuna nchi hii for the past 50 years.
 
Hizo sheria huwa wanatunga kwajili ya nani?Utafikiri wao hawataishi tz
 
Zipo bandarini zinafanyiwa mchakato wa kuzitoa, tehe tehe tehe
 
Tatizo ni sisi wenyewe Watanzania

Usanii tunao mwingi, tunaupenda na kuukumbatia...

Tunautumia usanii kuteua viongozi wasanii wanaoutumia mamlaka kama platform ya kuperform usanii wako kwa kuteua wasanii wenzao kuendeleza usanii wao

Mwaka huu tuna nafasi ya kurekebisha makosa.....au kuendeleza ujuha wa kisanii
Mwaka huu hawachomoki
 
Back
Top Bottom