Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,039
- 4,284
Hii tabia na voda wanayo. Niliwahi kununua 2gb na mb kadhaa zikaisha ndani ya dakika mbili nikiwa sijaingia kokote. Nilipowapigia simu mwanzoni wakaniambia kulikuwa na tatizo la mtandao ila baadaye wakanigeuka wakasema niliitumia. Wajinga sana. Halafu kitu ambacho hawataki kuelewa ni kuwa hata kama mtandao utakuwa na kasi ya 10GB/sec bado haihalalishi kifurushi kwenda mbio maana ile ni kasi ya mtandao na sio kiasi cha data ambazo zimekuwa uploaded ama downloaded. Maana yake ni kuwa ukidownload file la GB 1 au 2 speed ya kupakua itakuwa ni 2/10gb/sec (sijui kama nimeandika sawa wanamahesabu.Aisee hawa jamaa kuna siku nimejiunga 1gb ndani ya sekunde zisizozidi 40 wameimaliza yote, nilipowapigia huduma kwa wateja wakanambia eti "tayari umeshatumia", nikawauliza nimefanyia nini maana nyie mnaona huko wapi nilitembelea na kupakua chochote!? Na nikawauliza, ina maana nyie siku hizi mna kasi ya 10G+ mpaka iwe chini ya dakika tayari imeshashusha/kupakua file lenye ukubwa wa 1gb!? Nikakosa majibu nikaambiwa tu tatizo lako limewasilishwa kwa wahusika watalifanyia kazi lakini kimya.
Mpaka leo sinunui vifurushi vya zaidi ya buku ili hata wakinifanyia uhuni isiniume sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wakuu, Mie nina malalamiko dhidi ya huduma za halotel hasa hasa kwenye Internet. Hii leo ni mara ya tatu nikijiunga kifurushi cha usiku kile cha 1500/- ambacho kwa madai yao ni kwamba kifurushi hiki hakina ukomo. Kwahiyo ni kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili kabili alfajiri.
Kwa uzoefu wangu, hawa watoa huduma za mwasiliano wamekuwa wakitudanganya wateja wao kwa hiyo lugha na watu tunajiunga lakini cha Ajabu internet yao wanaibana na hadi mpaka file za size ya 50MB unatumia saa moja hadi mawili kulipakua.
Naombeni TCRA mtusaidie raia ambao tunatumia huduma hii ua internet kuoatiwa huduma sawa sawa na Maelezo.
Nawasilisha
Happy dude [emoji67][emoji538]
hiyo namba ilikutumia sms ni private ....Acha kupotoshaHalafu ni waongo sana kwa wateja, hebu angalia hichi kitu; ukijaribu kupiga hiyo simu ili uvute huo mpunga wala haipatikani.🤣🤣.View attachment 1363583
Habari zenu wakuu, Mie nina malalamiko dhidi ya huduma za halotel hasa hasa kwenye Internet.
Hii leo ni mara ya tatu nikijiunga kifurushi cha usiku kile cha 1500/- ambacho kwa madai yao ni kwamba kifurushi hiki hakina ukomo. Kwahiyo ni kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili na mbili alfajiri.
Kwa uzoefu wangu, hawa watoa huduma za mwasiliano wamekuwa wakitudanganya wateja wao kwa hiyo lugha na watu tunajiunga lakini cha ajabu internet yao wanaibana na hadi mpaka file za size ya 50MB unatumia saa moja hadi mawili kulipakua.
Naombeni TCRA mtusaidie raia ambao tunatumia huduma hii ya internet kupatiwa huduma sawa sawa na Maelezo.
Nawasilisha
Happy dude

Mimi huwa natumia vizuri tu hicho kifurushi cha 1500 na lengo langu linatimia. Hapo shida ipo kwako huenda uwezo wa simu yako halotel bado ipo vizuri mno.
kama umeshindwa kutofautisha namba ya mtu binafsi na kampuni hilo ni tatizoWewe ni msemaji wa halotel??!!
Kwa wenzetu wa dunia ya kwanza ushindani wa biashara kati ya kampuni za simu ungekuwa katika kuboresha huduma zao lakini hapa wanashindana kwa kumwibia mteja!Habari zenu wakuu,
Mie nina malalamiko dhidi ya huduma za Halotel hasa hasa kwenye Internet.
Hii leo ni mara ya tatu nikijiunga kifurushi cha usiku kile cha 1500/- ambacho kwa madai yao ni kwamba kifurushi hiki hakina ukomo. Kwahiyo ni kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili na mbili alfajiri.
Kwa uzoefu wangu, hawa watoa huduma za mwasiliano wamekuwa wakitudanganya wateja wao kwa hiyo lugha na watu tunajiunga lakini cha ajabu internet yao wanaibana na hadi mpaka file za size ya 50MB unatumia saa moja hadi mawili kulipakua.
Naombeni TCRA mtusaidie raia ambao tunatumia huduma hii ya internet kupatiwa huduma sawa sawa na maelezo.
Nawasilisha
Happy dude
Habari zenu wakuu,