Nimeona haja nimimi pia kudadavua huu mvutano baina ya
TCRA (Mdhibiti aka serikali)
Visimbusi vya kuonyesha maudhui ya Umma ( ie TING, continental, ZUKU)
Visimbusi vya kulipia ( Dstv, Azam pay etc)
Local channels ie ITV, Channel ten, Clouds
UTANGULIZI
TCRA hutoa leseni kwa kila kundi kutegemea na maudhui husika.
LOCAL CHANNEL
Hizi hazimiliki king'amuzi bali huwa na maudhui ya umma(kuonyeshwa bure) huyapeleka kwenye visimbusi kwa makubaliano maalum ie kuna monthly charge za kuilipa visimbusi kama director wa TiNG alivyoelezea.
Hizi local channels hufaidika zaidi kwa matangazo.
MGOGORO:
Ni baada ya visimbusi vya kulipia kuanza kukiuka mikitaba; hapa ishu si kulipisha FTA Channels ishu ni kutotakiwa kuzionyesha HATA KAMA WANGEFANYA BUREE yaani bando likiisha ziiendelee kuonekana, bado ni ukiukwaji.
In short Hawatakiwi kuonyesha local channel kabisa regardless wanatoza ama free.
Hawakushinda zabuni hiyo, walioshinda ni hao wa upande wa pili ambayo ndo waliilalamikia TCRA.
Huenda visimbusi vya kulipia vilishawishiea na wateja wao.
Kisheria Visimbusi vilivyoshinda kuonyesha maudhui ya bure, vina haki ya kulalamika na ni haki pia kwa channel za local kuondolewa kwenye maudhui ya kulipia.
HITIMISHO:
Kama wa maudhui ya kulipia wanataka kuonyesha na maudhui ya bure ya local channel ni vyema waongee meza moja na wenzao wa maudhui ya bure, huyu TCRA yeye awe tu kama msikilizaji. Ie AZAM/DSTV wawe wanalipa percent fulani kwa TING/CONTINENTAL kwa ajili ya local channel kuonekana.
Local Channel wafuate utaratibu, hawaruhusi channels zao kuingizwa kwenye visimbusi vya kulipia. Na wala wasiwasumbue AZAM/DSTV.
AZAM/DSTV zingatieni masharti ya Leseni zenu.
Ni hayo tu.