Wewe mwenyewe ndio uliyejiunga na huduma hiyo either kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Kama hiyo huduma huihitaji iondoe. over.SMS za Simutv kwenye mtandao zinatumalizia charge, kwa siku utakuta unatumiwa zaidi ya SMS zaidi sita au nane, na ni kila siku!