Chuo ganii mkuu...Tunaenda Kukifuta Hicho Chuo Mda Si Mrefu , Iyo Ni Wojawapo Ya Kuanza Process
Habari wanajamvi.
Nasikitishwa na hali ya kutokuwa na mtandao unaokidhi viwango kwa ajili ya mawasiliano na Internet. Jambo hili linatusumbua kwa kiasi kikubwa. Sio Voda, Tigo, Airtel wala Halotel; kote mtandao mbovu sana wakati mwengine ni No Service.
Ni aibu kwa taasisi kubwa kama hii kuwa na matatizo haya.
Nawasilisha.
Matusi Pending [emoji678]
Niko Humanity, muulize yeyote unayemjua hapa chuoni hasahasa Humanity kama mtandao uko sawa atakwambia....Sijui matatizo yako hayo unapataje, enzi sisi tukiwa mabuludoza ndio kulikuwa na tatizo la network tulikuwa na TTCL tu na enzi izo modem ndio ilikuwa deal no smartphone.
Iyo miaka ya mwanzo wa chuo hakuna hata miundombinu.
Juzi nimetembelea Udom niliona kila mlima una mnara mpka chuo cha Afya kule kuvuka college ya education. Na nilitbea kote huko nikawa napata network, sasa mzee wewe upo UDOM ipi?
Pia jua Udom ni kubwa
Pia college zote za udom net inatembeza vizuli mno mpaka tigo wamefungua Tigo4G. Huyu jombaaa nahisi yupo udom ya ujac kule ng'ong'ona ofcourse kule ni No networkSijui matatizo yako hayo unapataje, enzi sisi tukiwa mabuludoza ndio kulikuwa na tatizo la network tulikuwa na TTCL tu na enzi izo modem ndio ilikuwa deal no smartphone.
Iyo miaka ya mwanzo wa chuo hakuna hata miundombinu.
Juzi nimetembelea Udom niliona kila mlima una mnara mpka chuo cha Afya kule kuvuka college ya education. Na nilitbea kote huko nikawa napata network, sasa mzee wewe upo UDOM ipi?
Pia jua Udom ni kubwa
Uko sahihi mkuu humanity network ya internet ni majanga kwa kweliNiko Humanity, muulize yeyote unayemjua hapa chuoni hasahasa Humanity kama mtandao uko sawa atakwambia....