Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Oct 27, 2011 #1 Wana jf Inakuaje huduma za simu tulipe kodi mara mbili. 1. Ninaponunua vocha nalipa kodi. 2. Wakati napiga simu, ktk huduma zao pia wameweka na VAT. Huu si wizi wa wazi wazi?
Wana jf Inakuaje huduma za simu tulipe kodi mara mbili. 1. Ninaponunua vocha nalipa kodi. 2. Wakati napiga simu, ktk huduma zao pia wameweka na VAT. Huu si wizi wa wazi wazi?
Maarko JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 1,197 Reaction score 611 Oct 28, 2011 #2 Umeona hilo tu,ustumie simu na kama vipi Jinyonge!