Madish Installers Member Joined Aug 16, 2020 Posts 37 Reaction score 48 Sep 23, 2020 #21 busiba said: Habarini ndugu zangu, hawa Dstv ukiishiwa kifurushi tu hata tbc wanafunga. Sasa washauriwe au kuamliwa wasitudharau. Tcra kazi kwenu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kifurushi kikiisha TBC1 inabaki na ikitokea kwako inakata ni issue ya system kufail.. unachopaswa kufanya ni kupiga huduma kwa wateja wanaifungua dakika hiyo hiyo!
busiba said: Habarini ndugu zangu, hawa Dstv ukiishiwa kifurushi tu hata tbc wanafunga. Sasa washauriwe au kuamliwa wasitudharau. Tcra kazi kwenu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kifurushi kikiisha TBC1 inabaki na ikitokea kwako inakata ni issue ya system kufail.. unachopaswa kufanya ni kupiga huduma kwa wateja wanaifungua dakika hiyo hiyo!
Ngisibara JF-Expert Member Joined Jan 2, 2009 Posts 3,413 Reaction score 2,276 Sep 23, 2020 #22 Kibumbula said: Hivi bado kuna watu wanaihitaji TBC kweli?.Masikini nchi yangu.Mayoooooooo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] Sent from my TA-1024 using Tapatalk Click to expand... Nashangaa!
Kibumbula said: Hivi bado kuna watu wanaihitaji TBC kweli?.Masikini nchi yangu.Mayoooooooo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] Sent from my TA-1024 using Tapatalk Click to expand... Nashangaa!
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,907 Reaction score 28,462 Sep 23, 2020 #23 Mpaka Leo kuna watu mnaangalia TV?