Habarini ndugu zangu, hawa Dstv ukiishiwa kifurushi tu hata tbc wanafunga.
Sasa washauriwe au kuamliwa wasitudharau.
Tcra kazi kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutuaibisha watumiaji wa dstv, 🙈
Habarini ndugu zangu, hawa Dstv ukiishiwa kifurushi tu hata tbc wanafunga.
Sasa washauriwe au kuamliwa wasitudharau.
Tcra kazi kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kifurushi kikiisha cha Dstv ni bora nikaangalia ile channel 100 ya matangazo kuliko TbcHivi bado kuna watu wanaihitaji TBC kweli?.Masikini nchi yangu.Mayoooooooo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Ukiona wanazingua jipinde upate decorder ambazo zinajali taratibu zetuHabarini ndugu zangu, hawa Dstv ukiishiwa kifurushi tu hata tbc wanafunga.
Sasa washauriwe au kuamliwa wasitudharau.
Tcra kazi kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app