Kim Jo Ngil
Member
- Jan 3, 2014
- 45
- 17
Simu yangu ya huawei nimenunua kwenye duka la Tigo makao makuu makumbusho. Hivyo nikawa sina wasi wasi kwamba itakuwa feki.
Ila jana nikiwa na wenzangu topic hiyo ikaanza.
Nikasema yangu haiwezi kuwa feki sababu nimeuziwa na Tigo.
Ila baada ya mabishano na kufata maelekezo ya namna ya kujua feki vipi na ya ukweli vipi.
Nikashangaa kuwa yangu ni feki.
Iweje shirika la simu kama Tigo wana bidhaa feki? TCRA wanajua hili?