TCRA na jeshi la polisi Tanzania kama mmeshindwa kumkamata huyu basi acheni kuwakamata Watanzania wanaosema ukweli kuhusu viongozi wa nchi yao

Mitutu yote Ile unapata wapi nafasi? Mie sijawahi muona Kiongozi yoyote WA Tanzania live ni picha na TV na naishi mjini kitambo. SASA huyo aliepenya na kwenda kumuua Amiri Jeshi Mkuu mbona uongo huu umevaa gauni?. Wanajikosha maana ugonjwa alioudharau ndio umemuondoa ' Tusihofu kukaguliwa kaguliwa na tumafua'.

Tufanye basi kiongozi wetu kauwawa na wabaya wetu. Hao walinzi na wanaohusikana na ulinzi wake tangia mfagizi hadi DG bado wako ofisini?

Wajameni hii mambo si ya kuwapeleka wale mbumbumbu wa vyatto vijijini?

Hata huyu gwiji wao johnthebaptist amekuwa akiwaasa kuachana na upumbafu:

"Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake LIHIMIDIWE!"
 
Kigogo huwa anazungumza kwa facts yani ushahidi wa mengi anayosema anauweka na si huyu demu
Hapana lazima kuwepo jambo. Huyu demu anaongea kitu ambacho hakiwezi kuwa na ushahidi wa moja kwa moja,sababu ni kitu kinachohusu mauaji,hakiwezi kutengeneza ushahidi moja kwa moja kuwekwa kwenye mitandao. Ila nafikiri lipo jambo kubwa hapa nchini. Huyu mwanamama sio wa kupuzwa kabisa
 
Kuna mambo yanafikirisha

1. Chronic heart fibrillation ( why he was not advised not to travel if he was too sick to die after two weeks?
2.someone stable to perform daily presidential activity and to die after two weeks

3. Why the presidential physician did not see the reason to advise someone with chronic atrial fibrillation not to perform heavy duties as he would die in two weeks?

4. With such terrible condition,he was not advised to seek treatment abroad .


Wote tutakufa, let' s for our nation
 
MUSIBA alikuwa anawezeshwa na TISS; hivyo kumthibiti ni lazima TISS ifumuliwe na iundwe upya!!! Mama asilifanyie mchezo hili la reorganization of TISS! General Mabeyo ni mtaalam wa mambo ya Intelligence anaweza kusaidia.

Naona unamhonga Mabeyo kijanja ile awe wa mwisho kuliwa kichwa akishasaidia kazi yenu. Katika watu watao mkwamisha Mama kama hata wa handle with care ni Tiss.

Iko picha u tube mlinzi wa JPM kamshika burushi kiuno kama vile anataka kumsukuma na kakwepesha uso wake usifikiwe na mkono wa burushi ulio nyanyuka.
 
Mkuu hyo sio kazi rahs , alijarbu kuifanya JPM ikamshinda , TISS huwez kuwang'oa wote , aliishia kutengeneza kambi mbili za upinzani.... Hao wanaoitwa Sukuma Gang wameshikilia Mihimili yote ya kiserikali kuanzia Bunge , mahakama mpak defence yote, japo mama yupo on top , inahtaji hekima Tu kwenda nao , mpak unamaliza mda wako madarakani ..... Ukianza kufata mkumbo wa akina Kigogo utatengeneza mpasuko mkubwa Sana
Hiyo Kazi inatakiwa USTADI MKUBWA ndio maana nikamtaja CDF kama angeweza kuwa na msaada mkubwa!! Sio kazi ya papara.
 
Hujui kuwa alikuwa head of INTELLIGENCE jeshini kabla ya kuwa CDF?
Marehemu alikuwa amewaleta wakuu wote wa vyombo pamoja na mara nyingi alipokuwepo walikuwepo kwa nini sasa tunaona kama divide and rule agenda?
 
Ukiona minyukano ya namna hii ujue ukweli u karibu sana ni suala la muda tu, tuwe na subira watanzania,ukweli haujawahi kushindwa vitendo vitaongea.
 
Kwa kawaida, ufugaji wa Misukule unakuwa jambo la siri! Unaweza kuishi nyumba moja na wazazi, lakini mama na watoto wasijue kwamba darini kuna misukule ya mzee!!! Tatizo linakuja pale Baba Mfuga Misukule anapokufa! Kinachofuata ni Misukule kutapatapa huko darini kwa kukosa chakula! Hapo ndipo utakuta wakazi wengine wanaanza kupata kihoro kwa kusikia sauti zisizoeleweka huku watoa sauti hao wakiwa hawaonekani! Inakuwa ngumu kwao kufahamu kwamba sauti zinazotoka darini!!

Hutakiwi kuwa kachero kufahamu hiyo akaunti ni ya Misukule ya Jiwe! Mfuga Misukule kafa, Misukule yake inatapatapa duniani kwa kukosa matunzo!!!
Watatulia tu,mirija ya pesa inaenda inakata,baada ya mda watakosa mtu wa kugharamia project yao...
 
Back
Top Bottom