Acha makasiriko this platform was meant for socialising wewe unakuja unahororojoka na malalamiko yako humu; unaambiwa ukweli unalialia, au umesikia JF ni Airtel au TCRA, humu tutakuzodoa tu kama hivi na ukikasirika zaidi ndo tunapiga spana tena na tena.
Sikia, piga simu # 100 huko Airtel help desk watakusaidia alternatively andika malalamiko yako ya huduma duni za MNO wako kwenda TCRA kisha tuma via email kwa
malalamiko@tcra.go.tz nakala kwa
dg@tcra.go.tz.
Kujifunza zaidi soma mwongozo wa malalamiko yako juu ya huduma za mawasiliano.
wanabodi washafahamu who has mental deprivations. Una kila dalili za OBSESSIVE-COMPLAINING DISORDER (OCD) you might need some psychiatric consultations.
N'yadikwa