TCRA mnatakiwa mtengeneze data base yenu ya watanzania wote wanaomiliki simu

Wazolee

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
2,726
3,113
TCRA mnatakiwa mtengeneze data base yenu ya watanzania wote wanao miliki simu kwa kuchukua picha zao na alama za vidole vyao na kuwapa code namba kisha ndio wanaenda eidha kusajili laini mpya au kukamilisha usajili laini anayo tumia

Sidhani kama kuna ugumu katika hili kama TRA wana data base ya madereva wote walio wapa leseni hapa Tanzania vipi nyinyi mshindwe

Lakini tatizo waliopewa dhamana wenge uwezo wao wa kufikiri ni mdogo ndio maana huwa mnakurupuka baadae mnapingana wenyewe kwa wenyewe katika maamuzi yenu waziri wa mawasiliano anasema zitafungwa wa mambo ya ndani anasema hazifungwi

Kazi ilikuwa rahisi mngeweka mitambo yenu ya kuwasajili watumiaji wa simu mtu anakuja na kitambulisho chochote hata barua ya serikali ya mtaa mnapiga picha yeye na documents zake mnachukua alama za vidole vyake mnampa code yenu ndio atakayo itumia katika kumiliki laini za simu yawezekana sahizi mngekuwa mmeshamaliza na mnayo data base inayo link code yenu na mitandao ya simu kwa watanzania wote wanaomiliki laini za simu
kwa wenye vitambulisho vya NIDA wangekuwa qualified moja kwa moja

Lakini mnataka kila mtanzania anae miliki laini za simu eti awe na kitambulisho cha NIDA hilo haliwezekani kwa tanzania labda kama mna lengo la kusumbua watu

Mtu akienda NIDA anaambiwa awe na cheti cha kuzaliwa wakati kuna familia hapa Tanzania uko mzima hakuna mwenye cheti cha kuzaliwa
 
Broo inaonekana kama umezaliwa Leo otherwise una ICT skills ndogo au Kwenye mambo ya uchumi upo na skill ndogo.

Now tunana NIDA, mamlaka ya Vitambulisho vya uraia. Hawa jamaa ili wakusajili lazima wawe na picha yako, alama za vidole. Shule uliyosoma, majina ya wazazi na details za mahali unapoishi unapofanya kazi Nk.

TCRA wanatumia hizo Data kusajili SIM. Sasa wewe unataka wawe na Database ya nn tena na wakati Details za wateja wao zipo NIDA.

Hao unaowasifia TRA kuwa wana Database ya madereva now wamebadili Regulation kuwa ukitaka Leseni lazima uwe na ID ya NIDA sasa huoni kuwa Database yao ina walakini ndio maana wanahitaji Details zaidi toka NIDA.

Ww unataka kila Gov. Institution/ Authority iwe na Database huoni kama ni matumizi mabaya ya Fedha..? Na kuwa na mifumo mingi isiyo na Tija

Ndio maana Ikaja NIDA ili watumiaji wengine wachukua Data toka kwao. Kwa hiyo unatakiwa ujue watumiaji wa Simu wanasajiliwa na Mitandao yao/ Providers kwa niaba ya TCRA na mwisho wa siku kama ID yako itajulikana huko kuwa imetumika kusajilia Line ngapi ndipo TCRA watajua watumiaji wao wa Simu.

Ndio maana hata sasa ukienda uhamiaji kutafuta Pasi ya kusafiria lazima usajiliwe NIDA kwanza ndipo taarifa zako zitumike kutengeneza Pasi.

Sasa hivi hadi Account za benki lazima ziwe Linked na NIDA. Hata TIN number mwisho wa siku lazima Ziwe linked na NIDA au otherwise zifutwe na Namba ya NIDA itumike kama TIN.
 
Hujasoma vizuri uzi wangu ila umekurupuka tu

Lengo la TCRA kulink na NIDA ni kuwatambua wamiliki wa simu ili kuzuia wizi ambao upo hivi sasa

Je wewe unaamini kuwa itafika siku kila mtanzania atakuwa na NIDA?

Mawasiliano ni biashara je wewe unaamini kuwa ipo siku simu zitazimwa na hatimae mitandao ya simu pamoja na serikali kupoteza mapato?

Hayo maswali mawili jibu lake haiwezekani hivyo TCRA itakuwa imefeli na wizi utaendelea

Ndio maana nikasema njia rahisi ni TCRA kutengeneza data base yao na kugawa code namba kwa wote wanao miliki simu katika kundi hili wengekuwepo wengi ambao hawana sifa ya kuwa na kitambulisho cha NIDA au hawahitaji kuwa na kitambulisho cha NIDA

Na nikasema kwa wale wenye vitambulisho vya NIDA wanakuwa qualified moja kwa moja
 
Bro Uzi wako nimeuelewa sana ila nahisi wengi hawatakuelewa kwa sababu watanzania wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana

Hata NEC wana data base yao ya wapiga kura
Kumlazimisha mtu akapange foleni NIDA ili apate kitambulisho akasajili laini yake ni upuuzi mtupu

Ni kweli ili bidi TCRA watengeze data base yao ya kuwatambua wateja wao na sio kutumia hi ya NIDA
Asilimia 90% ya watanzania wana miliki laini za sim lakini si kweli kuwa kila mtanzania anahitaji kitambulisho cha Taifa na ukitaka kuamini hilo nenda maeneo ya Vingunguti utapata jibu niliwahi kufanya research katika hili mtu hadi Leo hata hajui ofisi za NIDA zinapatikana wapi japo anamiliki laini za simu 2 au 3

Kama TCRA wangekuwa na wazo kama hili nahisi pesa sio tatizo serikali haiwezi kushindwa kununu seva ya million 200 kuhifadhi hizo data wakati wanakusanya mamilion ya shilingi kutoka katika hilo kundi la watanzania wanao tumia simu

Narudia tena watanzania uwezo wetu wa kufikiria ni mdogo na kwa mfumo huu wanaotaka TCRA kuwatambua watumiaji simu kwa kutumia data za NIDA haitawezekana labda wakubali serikali ikubali kupoteza mapato na watanzania waanze kukesha katika hizo ofisi za NIDA wakisotea hivyo vitambulisho
 
Kwa lugha nyepesi, zowezi la utambuzi wa laini za simu kwa TCRA, lisifungamane na zowezi la vitambukisho vya taifa kwa NIDA.
Ama TCRA wajetegemee kama NEC ilivyo fanya kwa vitambulisho vya wapiga kura, ama TRA ilivyo fanya kwa Driving license
 
NIDA inatosha kuwa na database ya kila mtu then wengine wakachota huko.
Hili halijaanzia Tanzania tu hata wenzetu wana utaratibu huo.
Kutengeneza database ni gharama na muda assume kila institution ikiamua kutengeneza database yao ni kupotezeana muda.
Yes itafika kipindi kila mtu atasajiliwa kwakuwa hutoweza kupata leseni ya biashara, udereva, kumiliki akaunti bank kupata pasi ya kusafiria, kupara bima, kuajiliwa pasipo kitambulisho cha taifa.
Hujasoma vizuri uzi wangu ila umekurupuka tu

Lengo la TCRA kulink na NIDA ni kuwatambua wamiliki wa simu ili kuzuia wizi ambao upo hivi sasa

Je wewe unaamini kuwa itafika siku kila mtanzania atakuwa na NIDA?

Mawasiliano ni biashara je wewe unaamini kuwa ipo siku simu zitazimwa na hatimae mitandao ya simu pamoja na serikali kupoteza mapato?

Hayo maswali mawili jibu lake haiwezekani hivyo TCRA itakuwa imefeli na wizi utaendelea

Ndio maana nikasema njia rahisi ni TCRA kutengeneza data base yao na kugawa code namba kwa wote wanao miliki simu katika kundi hili wengekuwepo wengi ambao hawana sifa ya kuwa na kitambulisho cha NIDA au hawahitaji kuwa na kitambulisho cha NIDA

Na nikasema kwa wale wenye vitambulisho vya NIDA wanakuwa qualified moja kwa moja
 
NIDA wanatosha ni kazi kwa hizi taasisi kufetch kutoka NIDA
 
Kwa lugha nyepesi, zowezi la utambuzi wa laini za simu kwa TCRA, lisifungamane na zowezi la vitambukisho vya taifa kwa NIDA.
Ama TCRA wajetegemee kama NEC ilivyo fanya kwa vitambulisho vya wapiga kura, ama TRA ilivyo fanya kwa Driving license
Hasante bro umenielewa sana wewe itakuwa IQ yako ni kubwa kuanzia 75% na kuendelea
Ukienda NiDA pale temeke 99% wanataka vitambulisho ili wakasajili laini zao za simu zaidi yapo hana kazi nacho na wala asinge kihitaji

Sasa kama ishu ni kusajili laini kwa nini TCRA isi wasajili wakawaweka katika database yao kama lengo ni kuwatambua tu ili wakifanya uhalifu wajue wanawapata wapi
 
Nimekuelewa mleta mada!
TCRA inapaswa kujua kuwa watumiaji wa simu ndio wateja wao. Hivyo kubuni namna zaidi ya moja kuwatambua.
Kuna watu hawana sifa za kusajiliwa NIDA - hasa chini ya miaka 18 - je watu hao hawastahili kutumia simu?
Ifahamike, mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 15 anaruhusiwa kufanya kazi. Je kwa karne hii atafanya kazi bila ya kuwa na mawasiliano ya simu? Na kutumia simu iliyosajiliwa kwa jina tofauti na ntumiaji ni kosa la jinai, kwa mujibu wa TCRA
Kumbuka mawasiliano ni haki ya msingi kwa mujibu wa Katiba.

TCRA wanapaswa kuwa na utaratbu wao, na wakiona inafaa watumie pia NIDA ID
 
Broo inaonekana kama umezaliwa Leo otherwise una ICT skills ndogo au Kwenye mambo ya uchumi upo na skill ndogo.

Now tunana NIDA, mamlaka ya Vitambulisho vya uraia. Hawa jamaa ili wakusajili lazima wawe na picha yako, alama za vidole. Shule uliyosoma, majina ya wazazi na details za mahali unapoishi unapofanya kazi Nk.

TCRA wanatumia hizo Data kusajili SIM. Sasa wewe unataka wawe na Database ya nn tena na wakati Details za wateja wao zipo NIDA.

Hao unaowasifia TRA kuwa wana Database ya madereva now wamebadili Regulation kuwa ukitaka Leseni lazima uwe na ID ya NIDA sasa huoni kuwa Database yao ina walakini ndio maana wanahitaji Details zaidi toka NIDA.

Ww unataka kila Gov. Institution/ Authority iwe na Database huoni kama ni matumizi mabaya ya Fedha..? Na kuwa na mifumo mingi isiyo na Tija

Ndio maana Ikaja NIDA ili watumiaji wengine wachukua Data toka kwao. Kwa hiyo unatakiwa ujue watumiaji wa Simu wanasajiliwa na Mitandao yao/ Providers kwa niaba ya TCRA na mwisho wa siku kama ID yako itajulikana huko kuwa imetumika kusajilia Line ngapi ndipo TCRA watajua watumiaji wao wa Simu.

Ndio maana hata sasa ukienda uhamiaji kutafuta Pasi ya kusafiria lazima usajiliwe NIDA kwanza ndipo taarifa zako zitumike kutengeneza Pasi.

Sasa hivi hadi Account za benki lazima ziwe Linked na NIDA. Hata TIN number mwisho wa siku lazima Ziwe linked na NIDA au otherwise zifutwe na Namba ya NIDA itumike kama TIN.
Hizi taarifa mbona ni sensitive sana kuwapatia haya makampuni ya mabeberu
 
NIDA inatosha kabisa kuhifadhi taarifa zetu na tatizo sio database za NIDA tatizo ni hawa watu waliopewa kazi ya kukusanya hizi data na kuzihakiki ndo wanafanya mchakato uwe mgumu ili takiwa nida wame na vituo vyao maalumu si kuhamahama pia ilitakiwa mambo yote ya verification ifanye computer sio mtu
 
Wewe unadhani ni mwaka gani NIDA watamaliza kazi ya kuandikisha na kuhifadhi data base ya watanzania wote?
 
Bro Uzi wako nimeuelewa sana ila nahisi wengi hawatakuelewa kwa sababu watanzania wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana

Hata NEC wana data base yao ya wapiga kura
Kumlazimisha mtu akapange foleni NIDA ili apate kitambulisho akasajili laini yake ni upuuzi mtupu

Ni kweli ili bidi TCRA watengeze data base yao ya kuwatambua wateja wao na sio kutumia hi ya NIDA
Asilimia 90% ya watanzania wana miliki laini za sim lakini si kweli kuwa kila mtanzania anahitaji kitambulisho cha Taifa na ukitaka kuamini hilo nenda maeneo ya Vingunguti utapata jibu niliwahi kufanya research katika hili mtu hadi Leo hata hajui ofisi za NIDA zinapatikana wapi japo anamiliki laini za simu 2 au 3

Kama TCRA wangekuwa na wazo kama hili nahisi pesa sio tatizo serikali haiwezi kushindwa kununu seva ya million 200 kuhifadhi hizo data wakati wanakusanya mamilion ya shilingi kutoka katika hilo kundi la watanzania wanao tumia simu

Narudia tena watanzania uwezo wetu wa kufikiria ni mdogo na kwa mfumo huu wanaotaka TCRA kuwatambua watumiaji simu kwa kutumia data za NIDA haitawezekana labda wakubali serikali ikubali kupoteza mapato na watanzania waanze kukesha katika hizo ofisi za NIDA wakisotea hivyo vitambulisho
Sikutegemea Mtaalam kama wewe kuwa na mawazo Duni kiasi hiki cha ku cretisize NIDA na kutaka kila Taasisi nchi iwe na Kanzidata yake. Inaonekana hata Skills za uchumi ni ndogo kichwani kwako.

Hii dunia ya sasa ni Dunia ya kutumia Rasilimali kidogo na kuleta matokea makubwa. Sasa hivi Standard yetu ya Identity ni NIDA tuu. Hawa jamaa wanachukua Taarifa za mtu za ndani na nyongine ni za kijasusi kabisa.

Kila Taasisi inatakiwa ichukue Taarifa Toka NIDA Taarifa ambazo ni Comprehensive.

Sasa ww unataka kila Taasisi iwe na Database ww unadhani itawezekana????

Kila mtanzania anabidi awe na NIDA ID. Mambo yote yaanzie hapo. Tena mm nashauri hata TIN namba zifutwe tutumie NIDA kwenye kila Aspect ili Taarifa ziwepo na ziwe Uniform.

Natamani hata BiMa za Afya Ziwe na Namba ya Nida ili ukiumwa ujulikane na taarifa zako ziwe Stored.

Wewe unadhani TCRA hawana iyo Database ya watumiaji wa simu???? Maana hakuna line inayofanya kazi ambayo haijasajiliwa hataka kama usajili ni wa kitambulisho feki. Ki msingi Database ipo ila sio reliable. Haiaminiki kwa sababu ya Teknolojia yake.

Ndio maana NOW imekuja ishu ya Biometeic ambayo ni Unique ili kila mtu atambulike.

Huoni ambavyo ni Raisi kwa sasa ukienda kusajili Line. Ukifika ni kuweka kitambulisho cha NIDa na kidole tuu. Hakuna mtu wa kukuliza jina maana tayari majina na details zako zipo NiDa na zinakuwa fetched kwa mtumiaji mwengine
 
Sija cretisize NIDA wala sina shida na NIDA kuhusu kazi yao ya kukusanya taarifa za watanzania na kuziweka katika database hilo ni jambo muhimu lazima lifanyike
Japo hawataweza kukusanya katika database yao taarifa za watanzania wote labda kwa miaka 100 ijayo

Shida ipo TCRA hivi sasa NIDA wanaenda kasi ili kuwawezesha TCRA wapate kuwatambua wateja wao wote wanao tumia simu hapa Tanzania kwa kutumia database ya NIDA pia hili halitawezekana labda kwa miaka 100 ijayo

Ndipo mtoa uzi akatoa wazo kwa nini TCRA wasitengeneze database yao kama ile ya TRA iliyosajili madereva au ile ya NEC iliyo sajili wapiga kura itakayo wawezesha kuwa na details za watu wote wanao tumia simu hapa Tanzania ambapo mtu atasajiliwa kwanza na TCRA kisha atapata code namba itakayo muwezesha kumiliki laini za simu

Na nashukuru umesema TCRA wanayo database ila ina madhaifu kwa hiyo kumbe ilitakiwa waangalie namna ya kuiboresha hiyo ya kwao na sio kuwalazimisha watu wawe na vitambulisho vya NIDA ili waweze kumiliki laini za simu

Pia umezungumzia uchumi uchumi sio tatizo ni kwamba tu aidea yako ndogo kwa sababu hi database ya TCRA yawezekana ndio ingekuwa database yenye faida kwa kuwa kila sekunde ina generate ma million ya shilingi na hatimae kuzalisha ma million ya kodi

Na umeongelea gharama hakuna cha gharama ili uwe na database unatakiwa uwe na kitu kinaitwa server ni sanduku fulani la mitambo kazi yake ni kuhifadhi information na kuzichukua unapo zitaka bei yake haizidi million 200

Lakini pia tambua kuwa kuna wageni wanakuja hapa nchini kwa kukaa miezi 3 au miezi 6 au mwaka
Huyu mgeni nae analazimika aende NIDA apate kitambulisho ndio aweze kumiliki laini za simu huoni kuwa NIDA wanapewa mzigo usio wa lazima

Wakati huyu mgeni ilitakiwa aende TCRA apigwe picha yeye na passport yake achukuliwe alama za vidole apewe code namba itayo muwezesha kumiliki laini za simu

Narudia tena watanzania uwezo wetu wa kufikiria ni mdogo tumezoea Ku copy na Ku pest mifumo ya wenzetu
 
Back
Top Bottom