Sawa,ila wajaribu siku moja kumpa mtu mwengine namba yangu ya simu ndio tutajua namba ni ya kwao au yangu. Kesi za hivi uwa nazipenda sana.Mkuu MUUZA NGADA fahamu kwamba hayo makampuni ya simu yanafanya biashara ya kutangaza matangazo ya hayo makampuni ya kamali. Hiyo ni biashara ya matangazo na hizo sms zimeshalipiwa tayari ndiyo maana VODACOM au kampuni yoyote ile ya simu hawawezi kuzizuia. Hii biashara inawaingizia pesa mingi sana ndiyo maana wewe ulipoenda kuwauliza wamekuzungusha tu, lakini wanajua ukweli wote kuwa wao ndiyo waliotoa hizo namba za wateja kwa makubaliano maalumu ya kulipwa.
Kiutaratibu ninavyo fahamu mimi namba ya simu unayoimiliki siyo mali yako, bali ni mali ya SERVICE PROVIDER uliyejiunga naye kama ni VODACOM, AIRTELL, HALLOTELL n.k. hawa ndiyo wamiliki halali wa hizo namba za simu. Literally tunaweza kusema namba za simu ni mali yetu, but technically zinamilikiwa na makampuni ya simu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa,ila wajaribu siku moja kumpa mtu mwengine namba yangu ya simu ndio tutajua namba ni ya kwao au yangu. Kesi za hivi uwa nazipenda sana.
Inaudhi sanaJamaa wanakera sana hao yaani kutwa nzima SMS ni zao tu ndo zinapishana kwenye simu tena kama namba za voda ndo wamezidi bora hata na airtel kidogo.
Sasa kwa nini TCRA isikuchukulie hatua?USILAUMU TCRA HAWA WANATUMA TUMA randomly ILI MRADI DIGITS ZIWE KUMI NA IANZE NA 0 NA CODE NAMBA YA KAMPUNI MFANO MIMI NABAHATISHA HII NA BILA KUPEWA 0654308777
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama unauza ngada unategemea TCRA ikusaidie??
SidhaniUSILAUMU TCRA HAWA WANATUMA TUMA randomly ILI MRADI DIGITS ZIWE KUMI NA IANZE NA 0 NA CODE NAMBA YA KAMPUNI MFANO MIMI NABAHATISHA HII NA BILA KUPEWA 0654308777
Sent using Jamii Forums mobile app