MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 512
Lawama zoote! kumbe unaomba mchango. Nakushauri fuatilia kama kweli ni TCRA wameihamisha kwenye jengo hiyo redio. pia fuatilia kwa nini wamefanya hivyo maana inaonyesha na wewe hujui sababu. Jitahidi siku zote kufanya utafiti kabla ya kulalamika. Mara nyingi malalamiko yasiyo na hoja hayasikilizwi.
Yes! Redio watatukana sana na kuleta uchochezi pamoja na muendeelezo wa malalamiko yasiyo na msingi, bila kusahau kuhubiri chuki na fitina ktka jamii
Sababu ni Waislaam.
Kuna bwana mmoja ameandika makala wiki za hivi karibuni akiwasifu RC kuwa wanacheza kama pele. Hata ukijipa upofu ukampinga, Kwenye jambo kama hili inakubidi tu uhafikiane naye.
Ona, wenzao baada ya kupewa order na TCRA wamefanya jitihada ya kukamilisha jengo mojawapo kwenye complex la Kristu Mfalme-Tabata. Pale wana nursery, P/S, Sec, Modern Social & Conference Hall, Mkombozi Bank Branch, n.k na sasa wanahamishia Studio za Radio na TV Tumaini. Na bado watabaki na space kubwa ya kufanya mambo mengine. Wenzao wanakula sahani moja kulalama na TCRA!
Duh. Hii kali, mie sipoNyie Waislam wa dizaini hii kuna siku mtalalamika mungu anawaonea kwa sababu nyie ni waislam....
Sababu ni Waislaam.
mfumo kristo hao. lkn tushaanza kuchangia matv mengi na maredio yanakuja